Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Kipindi ni The Stream.

Kinaongozwa na Femi Oke.

Wageni ni Ansbert Ngurumo, akiwa yupo Stockholm, Sweden na Dkt. F. Minja, kutokea Atlanta, GA, USA.

Mazungumzo ni kuhusu madai ya Rais Magufuli kuhusu COVID-19.

Safi ngoja niangalie.
Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.

Huwezi kudai kitu hakipo, hususan ugonjwa unaosababishwa na ki/virusi [ambavyo havionekani], bila ushahidi.

Rais Magufuli ni mwanasayansi wa wapi yeye?

Mimi bado naamini C-19 si kali wala hatari kama inavyotangazwa, lakini hiyo haina maana watu wasichukue tahadhari, hususan wale walio medically fragile.
 
Kipindi ni The Stream.

Kinaongozwa na Femi Oke.

Wageni ni Ansbert Ngurumo, akiwa yupo Stockholm, Sweden na Dkt. F. Minja, kutokea Atlanta, GA, USA.

Mazungumzo ni kuhusu madai ya Rais Magufuli kuhusu COVID-19.

Magufuli keshapotea njia, anakiri wasaidizi wake huwa hawavai mask wakiwa karibu naye kwasababu wanajua yeye hapendi kuzivaa, kumbe hao wasaidizi wake wakiwa mbali naye wanazivaa barakoa vizuri tu, hii ni sawa na kamanda wa vita kuongoza kundi la wapiganaji wake ambao hawamuamini, hiyo vita lazima ashindwe.
 
Mkuu Nyani, wewe ndo huyo Minja? Safi sana. Hongera kwa kuwa mzalendo wa nchi yako.
 
Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.

Huwezi kudai kitu hakipo, hususan ugonjwa unaosababishwa na ki/virusi [ambavyo havionekani], bila ushahidi.

Rais Magufuli ni mwanasayansi wa wapi yeye?

Mimi bado naamini C-19 si kali wala hatari kama inavyotangazwa, lakini hiyo haina maana watu wasichukue tahadhari, hususan wale walio medically fragile.
Alitangaza haipo wakati gani? Nawewe unaamini ipo wakati gani?
 
Maprofu wetu waliokulea UD wanapukutika aisee
Such is the circle of life!

Kwanza walio wengi tayari walishatangulia pre-COVID-19.

Ambao bado wako hai, umri wao ushaenda sana....70+. Ni senior citizens ambao wako kwenye makundi yaliyo na hatari ya kuukwaa na kufa.

Si busara kwa wao kutokuzingatia tahadhari za kujikinga.
 
Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.

Huwezi kudai kitu hakipo, hususan ugonjwa unaosababishwa na ki/virusi [ambavyo havionekani], bila ushahidi.

Rais Magufuli ni mwanasayansi wa wapi yeye?

Mimi bado naamini C-19 si kali wala hatari kama inavyotangazwa, lakini hiyo haina maana watu wasichukue tahadhari, hususan wale walio medically fragile.
Kwa hiyo unatakaje Nyani Ngabu ? unahisi nini kifanyike?
 
Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.

Huwezi kudai kitu hakipo, hususan ugonjwa unaosababishwa na ki/virusi [ambavyo havionekani], bila ushahidi.

Rais Magufuli ni mwanasayansi wa wapi yeye?

Mimi bado naamini C-19 si kali wala hatari kama inavyotangazwa, lakini hiyo haina maana watu wasichukue tahadhari, hususan wale walio medically fragile.
Farao ni mbishi na muoga sana, ila Covid imefunua ujinga wake. Yaani kwa sasa hadi raia aliozoea kuwadanganya kwa blah blah zake wamemshtukia mapema.
 
Back
Top Bottom