Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

Such is the circle of life!

Kwanza walio wengi tayari walishatangulia pre-COVID-19.

Ambao bado wako hai, umri wao ushaenda sana....70+. Ni senior citizens ambao wako kwenye makundi yaliyo na hatari ya kuukwaa na kufa.

Si busara kwa wao kutokuzingatia tahadhari za kujikinga.

Acha hizo bana, wahenga wa kitasha walinena kuwa kipimo cha taifa bora ni kutunza wazee wake!

Circle of life is a formula that applies more or less when there is no pandemic, folks are over-dying!
 
Ambao bado wako hai, umri wao ushaenda sana....70+. Ni senior citizens ambao wako kwenye makundi yaliyo na hatari ya kuukwaa na kufa.

Si busara kwa wao kutokuzingatia tahadhari za kujikinga.
Hii ndo inaita blaming the victim, hawa wachumi wanaondoka wiki hii na yule mwingine aliye mahututi Idodomya unadhani hawakuchukua tahadhari za kujikinga?

TLS nao washapatoze malawyer wasiopungua 25, inabidi dola iwe more proactive sasa kulinda humanpower yake, tutarudi 1961 tulipokuwa Taifa lenye wataalam wachache!
 
How is that blaming the victim?

Aren’t senior citizens among the most vulnerable groups to succumb to C-19?
 
Bando halitoshi wameongea kitu gani kigeni?.
👉🏾Muhtasari tafadhali.
Ngurumo ni anti-government usitarajie mchango chanya au ushauri wowote productive kutoka kwake
Ni captain wa kundi la kulaumu/kulalamika
Kasema yupo ukimbizini huko Sweden...
Safi kabisa hajasema serikali inamzuia kuvaa barakoa?
 
Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.

Huwezi kudai kitu hakipo, hususan ugonjwa unaosababishwa na ki/virusi [ambavyo havionekani], bila ushahidi.

Rais Magufuli ni mwanasayansi wa wapi yeye?

Mimi bado naamini C-19 si kali wala hatari kama inavyotangazwa, lakini hiyo haina maana watu wasichukue tahadhari, hususan wale walio medically fragile.

Yes Mkuu nakubaliana na wewe ,nchi kuwa na uviko sio aibu,naona magu kaamua kutoa kafara 3-4% ya population.
 
Statement ya JPM kuhusu namna anavyo shughulikia Covid-19 imemchafulia sana Image yake Nje.

Mungu asaidie, but otherwise watakaobaki hai baada ya janga hili watamwandikia kitabu kumsimulia(Bad side of him)
 
Farao ni mbishi na muoga sana, ila Covid imefunua ujinga wake. Yaani kwa sasa hadi raia aliozoea kuwadanganya kwa blah blah zake wamemshtukia mapema.
Wanahangaika na TZ yanini wakati wameshakimbia nchi?
Wakae wakijua , shetani hajawahi kumshinda mungu.

Covid-19 awamu yapili ..nayo tunavuka.
Nauchumi utapaa.
Kuanzia kesho hadi kshokutwa nimwendo wakuzindua miradi mwambieni hivyo A. Ngurumo.
 
Ngurumo ni anti-government usitarajie mchango chanya au ushauri wowote productive kutoka kwake
Ni captain wa kundi la kulaumu/kulalamika

Safi kabisa hajasema serikali inamzuia kuvaa barakoa?
Hahahaaa.

Hivi kuna wanaodai serikali imewazuia kuvaa barakoa?
 
How is that blaming the victim?

Aren’t senior citizens among the most vulnerable groups to succumb to C-19?
Blaming the victim ni kuchukulia kuwa kuchukua tahadhari na kujikinga ni jukumu lao wenyewe hao senior citizens - ni jukumu la wote, dola inayombwelambwela na ninyi madogo mnaojirusha kidimbwi kisha mnarudi na uviko-19 aina ya sauzi nyumbani kuwaambukiza wazee wetu.
 
Hahahaaa.

Hivi kuna wanaodai serikali imewazuia kuvaa barakoa?
Kuna kiumbe anaitwa brazaj sijui Magufuli kamkosea nini yaani anaweza fungua nyuzi tano kwa mkupuo zote kulalamika.
Anyway tuchukue tahadhari na kuwa watulivu
 
Back
Top Bottom