Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.Safi ngoja niangalie.
MnogageKamwene Nyani Ngabu!
Ila kumbuka, HAPANGIWI..Mazungumzo ni kuhusu madai ya Rais Magufuli kuhusu COVID-19.
Hapangiwi nini/ na nani?Ila kumbuka, HAPANGIWI..
Mi-5 tena!
Kipindi ni The Stream.
Kinaongozwa na Femi Oke.
Wageni ni Ansbert Ngurumo, akiwa yupo Stockholm, Sweden na Dkt. F. Minja, kutokea Atlanta, GA, USA.
Mazungumzo ni kuhusu madai ya Rais Magufuli kuhusu COVID-19.
Maprofu wetu waliokulea UD wanapukutika aiseeMimi bado naamini C-19 si kali wala hatari kama inavyotangazwa, lakini hiyo haina maana watu wasichukue tahadhari, hususan wale walio medically fragile.
Bofya tena uangalie tokea mwanzo.Asante kwa alert! Nimeambulia dakika mbili ya mjadala!
Alitangaza haipo wakati gani? Nawewe unaamini ipo wakati gani?Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.
Huwezi kudai kitu hakipo, hususan ugonjwa unaosababishwa na ki/virusi [ambavyo havionekani], bila ushahidi.
Rais Magufuli ni mwanasayansi wa wapi yeye?
Mimi bado naamini C-19 si kali wala hatari kama inavyotangazwa, lakini hiyo haina maana watu wasichukue tahadhari, hususan wale walio medically fragile.
Such is the circle of life!Maprofu wetu waliokulea UD wanapukutika aisee
Kwa hiyo unatakaje Nyani Ngabu ? unahisi nini kifanyike?Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.
Huwezi kudai kitu hakipo, hususan ugonjwa unaosababishwa na ki/virusi [ambavyo havionekani], bila ushahidi.
Rais Magufuli ni mwanasayansi wa wapi yeye?
Mimi bado naamini C-19 si kali wala hatari kama inavyotangazwa, lakini hiyo haina maana watu wasichukue tahadhari, hususan wale walio medically fragile.
Tumia akili zako. Jikinge mwenyewe. Usisubiri uambiwe na Magufuli.Kwa hiyo unatakaje Nyani Ngabu ? unahisi nini kifanyike?
Farao ni mbishi na muoga sana, ila Covid imefunua ujinga wake. Yaani kwa sasa hadi raia aliozoea kuwadanganya kwa blah blah zake wamemshtukia mapema.Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.