Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

πŸ˜‚ neno likisha chomoka halirudishiki mdomooni pinda mugongo pinda mugongo pinda muugongoπŸ•Ί
Ahahahah kwenye hiyo ngoma ya Hama Q kuna chenchede mumoya huwa ana kishundu dah! Kinatutia kiwewe sisi wazee wa vidansa..

Gharika la moyo
 
Diallo ni mwanasiasa mjanja sana
 
Ingawa ujumbe umefika, lakini ni uungwana.
 
Anaombaje radhi wakati ni ukweli wale jamaa walitakiwa kuwekwa chini ya uangalizi milembe hospital
 
Hujanishawishi bado, umekosa HEKIMA umejaa ubinafsi, umekidhalilisha Sana chama changu
 
Mtu akisema ameeleweka vibaya ni kwamba ameomba radhi?
Amin amin nawaambieni Magufuli aliyelala kaburini ni hatari kwa fisadi kuliko alipokua hai. Mwenye masikio na asikie na mwenye macho aone.
 
Labda kipindi anasoma kichwa kilikua bado hakijapata moto
Acheni kutafuta umaarufu kwa kudanganya wapuuzi wenzenu. He was a hero and always will be! Hata Nyerere alipotoka madarakani wengi aliowabana kwa ufisadi wao walimnanga pia.
Piga ua Magufuli na Nyerere watakumbukwa daima.
 
Acheni kutafuta umaarufu kwa kudanganya wapuuzi wenzenu. He was a hero and always will be! Hata Nyerere alipotoka madarakani wengi aliowabana kwa ufisadi wao walimnanga pia.
Piga ua Magufuli na Nyerere watakumbukwa daima.
Mpuuzi kweli weye!Nyerere na Magufuli? What the heck is that?😝😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…