Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

Acheni kutafuta umaarufu kwa kudanganya wapuuzi wenzenu. He was a hero and always will be! Hata Nyerere alipotoka madarakani wengi aliowabana kwa ufisadi wao walimnanga pia.
Piga ua Magufuli na Nyerere watakumbukwa daima.
Hero wa kubumba? Labda zero, nachojua mimi hakuna Rais wa hovyo kama Magufuli
 
hero wa kubumba?labda zero,nachojua mimi hakuna rais wa hovyo kama magufuli
Umenena wewe na ni haki yako - tunaambiwa akili ni nywele kila mtu ana zake. Nadhani hujaelezwa kuhusu hali halisi ya nchi ilivyo. Nilikutahadharisha kuwa ndani ya mwaka huu, Acha siku 100, mbivu na mbichi zitajitokeza. Vuta subra kidogo
 
Kwa nini unafuatilia upuuzi?😝😝😝
Hebu jaribu kufuatilia mambo, usiwe na kumbukumbu kama za kuku maana ana kaubongo Kadogo kiasi anasahau haraka. Kumbuka mimi nilitoa maoni yangu wewe ukajibu upuuzi. Au ulitamani nikuache uholohoje tu. Kama ndivyo unapenda, sitakujibu tena
 
Ukiona mtu ni Mpuuzi unapaswa umuache.Kama unaendelea kumjibu mpuuzi unaonekana unawashwawashwa mapaja.Hakuna raha njema kama mpuuzi kujibu upuuzi.😝😝😝😝😝
 
Acheni kutafuta umaarufu kwa kudanganya wapuuzi wenzenu. He was a hero and always will be! Hata Nyerere alipotoka madarakani wengi aliowabana kwa ufisadi wao walimnanga pia.
Piga ua Magufuli na Nyerere watakumbukwa daima.
He was a hero kwa vichaa wenzake kama wewe.
 
Hivi Diallo alitoka Mirembe mwaka gani?
 
Wanufaika wake uwaambii kitu.
Leo musiba hawezi hata kulipa mishahara wafanyakazi wake.Unadhani anafurahi mtoa riziki wake akisemwa ukweli
Mbona mbowe alishindwa kulipa mshahara kwenye gazeti lake la Tanzania daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…