Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

Hilo la kuomba msamaha mmemlazimisha Kama kawaida yenu! Hata hivyo message was delivered already na walaji walishafanya conclusion na kuyatamka Yale maneno maarufu ya kuwa "nilijua TU kuwa alikuwa kichaa"! Kuubadilisha huu msemo na msimamo Kwa Sasa ni ngumu Sana na ni Bora tujadili ya mot wa kariakoo na ubovu wa magari ya fire!
 
Message sent and delivered, kama Mwendazake alivyokuwa akisema.
 
Mh. Dialo alionekana kuwa kiongozi muhimu ktk chama lakini kipindi alichofanya kwenye televishen yake mwenyewe kimemshusha sana.
Kama ni kiongozi imara haikumpasa kuomba radhi bali alitakiwa kusimamia yale aliyoyaongea.
 
Baada ya kusema ukweli kuhusu awamu iliyopita jinsi ilivyonyanyasa watu wakiwemo wana-CCM wenyewe, hali hio imewachukiza sana wana CCM ambao walikua wanufaika wa unyanyasaji huo hali iliyopelekea Dr Diallo kuikana kauli yake muda mfupi uliopia.

Anasisitiza kwamba tusije tukarudia makosa kama ilivyotokea huko nyumba 2015 tukakabidhi Tena nchi kwa Kichaa kama MwendaAkhera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…