Anthony Mavunde: Michakato ya kuanza ujenzi wa mpira Dodoma ilikuwa mingi hadi Rais Samia alipoingilia kati ndiyo ikawezekana

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema suala la kuanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa Dodoma ulizungumzwa kwa kipindi kirefu na michakato yake ilikuwa mingi ambayo haikufanikiwa hadi pale Rais Samia Suluhu Hassan alipoingilia ndipo likawezekana kufanyika.

Akizungumza wakati wa Hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi huo iliopo eneo la Changamani jijini Dodoma mwanzoni uwanja huo ulitakiwa ujengwe na watu kutoka Falme ya Morocco jambo ambalo halikufikia muafaka ambapo maamuzi yakafikiwa ujengwe kipitia fedha za uwajibikaji kwa jamii (CSR).

"Baada ya mchakato huo kuwa mrefu sana, Rais Samia Suluhu Hassan akatoa maelekezo kuwa Serikali chini ya uongozi wake watajenga wenyewe uwanja huo na hatimae leo Februari 13, 2025 mkataba wa ujenzi wa uwanja huo umetiwa saini" amesema Mavunde
 
Bandari ya Bagamoyo,imeondoka,mnatuletea uwanja wa mpira??😕
 
Attachments

  • 20250213_171101.jpg
    20250213_171101.jpg
    104.5 KB · Views: 1
  • IMG-20250213-WA0034.jpg
    IMG-20250213-WA0034.jpg
    57.5 KB · Views: 2
waache porojo wafanye vitendo watu wapate kazi za day.
 
Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema suala la kuanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa Dodoma ulizungumzwa kwa kipindi kirefu na michakato yake ilikuwa mingi ambayo haikufanikiwa hadi pale Rais Samia Suluhu Hassan alipoingilia ndipo likawezekana kufanyika.

Akizungumza wakati wa Hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi huo iliopo eneo la Changamani jijini Dodoma mwanzoni uwanja huo ulitakiwa ujengwe na watu kutoka Falme ya Morocco jambo ambalo halikufikia muafaka ambapo maamuzi yakafikiwa ujengwe kipitia fedha za uwajibikaji kwa jamii (CSR).

"Baada ya mchakato huo kuwa mrefu sana, Rais Samia Suluhu Hassan akatoa maelekezo kuwa Serikali chini ya uongozi wake watajenga wenyewe uwanja huo na hatimae leo Februari 13, 2025 mkataba wa ujenzi wa uwanja huo umetiwa saini" amesema Mavunde
Naona chadema walikuwa wanaweka vikwazo.
CCM ni ile ile
 
Mavunde mdogo wako hapa Dodoma amekuwa Dalali! Tukihitaji deal tunapitia kwake!
Ila sasa amezidisha utapeli!
 
Back
Top Bottom