Anthony Mavunde: Serikali isiendeshe Timu zetu za Taifa kwa kuungaunga

Anthony Mavunde: Serikali isiendeshe Timu zetu za Taifa kwa kuungaunga

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
843
Reaction score
1,024
Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya kuzisaidia Timu zetu za Taifa zinapokwenda kuwakilisha nchi. Ameyasema hayo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Michezo hapo jana.

 
Hata Serikali ikitenga fedha timu zetu za Taifa haziwezi kusonga mbele,sababu hiyo Serikali inamfanya siasa kwenye michezo.

Nafuu tusimame kushiriki michezo ya kimataifa hata miaka 5
 
Back
Top Bottom