J JUMA JUMA JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 843 Reaction score 1,024 Jun 1, 2021 #1 Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya kuzisaidia Timu zetu za Taifa zinapokwenda kuwakilisha nchi. Ameyasema hayo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Michezo hapo jana. Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya kuzisaidia Timu zetu za Taifa zinapokwenda kuwakilisha nchi. Ameyasema hayo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Michezo hapo jana. Your browser is not able to display this video.
mafiakisiwani JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 833 Reaction score 620 Jun 1, 2021 #2 Bora alivyowaambia
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,029 Reaction score 10,025 Jun 1, 2021 #3 Hata Serikali ikitenga fedha timu zetu za Taifa haziwezi kusonga mbele,sababu hiyo Serikali inamfanya siasa kwenye michezo. Nafuu tusimame kushiriki michezo ya kimataifa hata miaka 5
Hata Serikali ikitenga fedha timu zetu za Taifa haziwezi kusonga mbele,sababu hiyo Serikali inamfanya siasa kwenye michezo. Nafuu tusimame kushiriki michezo ya kimataifa hata miaka 5