Anthony Mavunde: Watu 34 wamehodhi eneo lenye ukubwa mara 12 ya Dar es Salaam

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141
"Kuna watu 34 wameweka maombi ambayo hayajalipiwa na hayana sifa ambapo kwa jumla wanashikilia eneo la ukubwa wa ekari 4,316,955 sawa na kuwa na mikoa ya Dar es Salaam 12, eneo lote hili limekaa bila kufanyiwa chochote.” Anthony Mavunde

Your browser is not able to display this video.
 
Nikuwa morogoro vijijini tukaendesha gari kwa kama nusu saa hivi kwenye pori lilipo sehemu nzuri tu kwa kilimo/ufugaji; nikaambiwa ni shamba la muheshimiwa mmoja wa Arusha aliyekuwa na Wasifa mkubwa.
Watajua wenyewe na Mungu wao kwani...
Wamesomesha watoto wao shule za gharama , wamewapatia kazi nzuri na bado tena wawalimbikizie mali wakati wameshawatengenezea mazingira ya kupata mali nyingi tu za kwao?
 

Sasa si useme tu kuwa ni shamba Sumaye shehe..

Unazunguuuka ..

Ndo nyie mtaweza kuitoa CCM madarakani nyie?
 
Hatari sana... Walanguzi hao...


Cc: mahondaw
 
Ila Waafrica aliyetuloga katuweza...Mbona uroho wa mali umepita kipimo sasa.
 
Wenye maeneo hayo ni wabunge na watumishi wa tume ya madini.
Angalieni majimbo ya same ( Dr), Geita mjini, bukombe, Hai na Kakola,
 
Ni eneo la pamoja...??? Ama robo robo ukiunga ndio upate huo ukubwa..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…