utaimalizaje kero kama hujaisikia au hujaambiwa lazima uanze kusikiliza kero ndiyo uitatue aache uzuzu wake huyu jamaaAnthony Mtaka: "Hawa Ma-DC wanafanya kazi kubwa kutatua kero, ni vile hawana ma TV tu."
Kheri James: "Tutenge muda wa kutatua kero na si kusikiliza kero"
View attachment 3004614
View attachment 3004615
Anazunguka na media? au media ndio wanazunguka naye?Anthony Mtaka: "Hawa Ma-DC wanafanya kazi kubwa kutatua kero, ni vile hawana ma TV tu."
Kheri James: "Tutenge muda wa kutatua kero na si kusikiliza kero"
View attachment 3004614
View attachment 3004615