Anthony Mtaka: Una Miaka 59 unatukana Serikali saruji imepanda sana, wakati inauzwa Tsh. 4,000 ulikuwa wapi kujenga?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Mkuu wa Mkoa wa Njombe RC Anthony Mtaka akiongea kuhusu Watumishi wa Umma kuhusu nidhamu na mshahara amesema kuwa watumishi wa Umma wanajisahau kuanza ujenzi mapema wanakuja kujenga wakati ambao wanakaribia kustaafu.

Wakianza ujenzi wanatukana bei za saruji kupanda hali ambayo wakati wanaanza kazi ilikuwa bei ya chini.

Yapi maoni yako?
 
View attachment 3604336

SITAKI UPUZI HII NCHI LAZIMA NIDHAMU IWEPO LA SIVYO TUTAENDELEA KUDIDIMIA KAMA TAIFA. DISCIPLINE NA KAZI LAZIMA IWEPO NINAANZA HUMU HUMU JAMII FORUM. SITAKI NA SIPENDI UPUZI.

FREE TUNDU LISSU NOW

GACHAGUA LAZIMA AWE RAIS WA KENYA.

adriz de mbusii
 
View attachment 3604336
Mkuu wa Mkoa wa Njombe RC Anthony Mtaka akiongea kuhusu Watumishi wa Umma kuhusu nidhamu na mshahara amesema kuwa watumishi wa Umma wanajisahau kuanza ujenzi mapema wanakuja kujenga wakati ambao wanakaribia kustaafu.

Wakianza ujenzi wanatukana bei za saruji kupanda hali ambayo wakati wanaanza kazi ilikuwa bei ya chini.

Yapi maoni yako?
Kwahiyo hao wenye miaka chini ya 30 wakianza kujenga sasa hiyo bei iliyopo ni rahisi?
 
View attachment 3604336
Mkuu wa Mkoa wa Njombe RC Anthony Mtaka akiongea kuhusu Watumishi wa Umma kuhusu nidhamu na mshahara amesema kuwa watumishi wa Umma wanajisahau kuanza ujenzi mapema wanakuja kujenga wakati ambao wanakaribia kustaafu.

Wakianza ujenzi wanatukana bei za saruji kupanda hali ambayo wakati wanaanza kazi ilikuwa bei ya chini.

Yapi maoni yako?
😁😁😁. Njombe kuna fursa. Shida wanawaza wakifika miaka 40 watahama bush
 
Alichosema ni kweli lakini hata anaelalamika yupo sawa. Sema tofauti ya aliyefanya maamuzi ujanani mwake bado ana haki ya kufanya ujenzi kwa bei nafuu na ikiwa viongozi wameshindwa kudhibiti mfumuko wa bei. Sio haki kuingilia maamuzi ya watu binafsi ili kuhalalisha kushindwa kwao
 
Kapiga kwenye mshono ......
Ukiwa ajirani jitahidi sana ujiwekeze vzr kama assets n.k !

Unakula bata wee, unastaafu ndo unaaza kuwekeza utakufa kama kuku ... presha itakuuwa ! Hela ya kustaafu sio ya kujenga wala kuanzisha miradi !!!!

Wengi hamtapenda hili, huo ndo ukweli
 
View attachment 3604336
Mkuu wa Mkoa wa Njombe RC Anthony Mtaka akiongea kuhusu Watumishi wa Umma kuhusu nidhamu na mshahara amesema kuwa watumishi wa Umma wanajisahau kuanza ujenzi mapema wanakuja kujenga wakati ambao wanakaribia kustaafu.

Wakianza ujenzi wanatukana bei za saruji kupanda hali ambayo wakati wanaanza kazi ilikuwa bei ya chini.

Yapi maoni yako?
CHIZI KAPEWA RUNGU
ANABWATUKA HOVYO HOVYO
 
View attachment 3604336
Mkuu wa Mkoa wa Njombe RC Anthony Mtaka akiongea kuhusu Watumishi wa Umma kuhusu nidhamu na mshahara amesema kuwa watumishi wa Umma wanajisahau kuanza ujenzi mapema wanakuja kujenga wakati ambao wanakaribia kustaafu.

Wakianza ujenzi wanatukana bei za saruji kupanda hali ambayo wakati wanaanza kazi ilikuwa bei ya chini.

Yapi maoni yako?
Aache ujinga huyu nae. Kwani kujenga ni kwamba wote tulipewa hela na serikali yake haramu wakati simenti ikiwa 4000 na hatukujenga tukakaa na hiyo hela hadi leo?

Kunywa ulanzi uliolala ni tatizo kubwa sana kwa afya ya akili, apunguze.
 
View attachment 3604336
Mkuu wa Mkoa wa Njombe RC Anthony Mtaka akiongea kuhusu Watumishi wa Umma kuhusu nidhamu na mshahara amesema kuwa watumishi wa Umma wanajisahau kuanza ujenzi mapema wanakuja kujenga wakati ambao wanakaribia kustaafu.

Wakianza ujenzi wanatukana bei za saruji kupanda hali ambayo wakati wanaanza kazi ilikuwa bei ya chini.

Yapi maoni yako?
Inawezekana alikuwa na hoja yenye mashiko, lakini he presented it foolishly just like a typical CCM mazafaka would do!
 
Back
Top Bottom