Serikali inapaswa kutekeleza wajibu wake wa kudhibiti inflation na sio kuja na machambo juu ya wanaolalamikia hali hiyo, huyo mwenye 59, huenda anajenga nyumba yake ya 2 au ya 3 analalamika kwa vile gharama zimekua kubwa kupita kias tofaut na alipojenga ya kwanza, au hata kama hakujenga hapo awali lakin aliona gharama zilikuaje, lakin je kwa yule aliyeamua kujenga akiwa 28 je kwake hzo gharama ni rahisi. Tunaona kila siku vitu vinapanda bei ovyo ovyo, havina stability kabsa shiling inaporomoka na hatuoni jitihada zozote zinafanyika kuipa thaman shiling angalau iwe na nguvu ya kuhimili hiz gharama, then unataka eti watu wasilalamike kisa walichelewa kuchukua maamuz.
Kingne mtu individual kujenga kwa baadhi nchi nying za magharib na nyingne Africa sio lazima hapa kwetu ni lazima kwa vile serikali imeacha jukum hilo kwa watu individual, haijisumbui tunaona nyumba zinajengwa bila mpangilio na sometime bila hata vibali, serikali ingewekeza kuwajengea na kuwapangisha/kuwauzia watumishi wake pengine toka mwanzo pengine saiv wangekua kwenye hatua ya kujengea mwananchi ata asie mtumishi, watu ni raslimali, watu ni mtaji, watu ni wateja. Kwnye nyumba serikali ingekua serious nchi ingependeza sana sema hakuna miradi ya taifa hili inaweza simama richa tumepewa kila kitu na M.Mungu.