Anthony Mtaka: Una Miaka 59 unatukana Serikali saruji imepanda sana, wakati inauzwa Tsh. 4,000 ulikuwa wapi kujenga?

Sasa mbona chama chake kina miaka 60+ madarakani ila Bado kinasubiri misaada kujenga vyoo vya shule??.huyu na Hilo kichwa lake km mgongo wa mpoo amekuja kuwa *****.
 
Acheni kuwatisha wastaafu watarajiwa. Pesa ya kustaafu inatosha sana kujenga au kununua nyumba nzuri na eneo ulipendalo na bado inabaki chenji ya kuanzisha biashara isiyohitaji mtaji wa milioni hamsini kama ulimaliza kuwasomesha watoto.
Naiweka hivi, msataafu analipwa mkupuo wa milioni 120, akanunuq nyumba ya vyumba vitano vya kulala kwa milioni 60 bunju au chamazi na akaanzisha biashara ya duka la mangi kwa milioni 20 anabaki na milioni 40 na huku mwisho wa mwezi anakunja milioni moja na nusu.
Huyu ni mwalimu aliyestaafu kwa daraja I au J la mshahara ambao ni sawa na wakuu wa idara. Polisi wajisemee wenyewe.
 
Ila hawa watu hata namna ya kuitetea serekale hawajui 🤣🤣🤣, si unawapa elimu raia jaman kwamba cement imepanda kutokana na moja, mbili, tatu sasa mtu unajibu wananchi kwa panic utafikiri wamekuchukulia figo asee 🤣🤣🤣
 
Serikali inapaswa kutekeleza wajibu wake wa kudhibiti inflation na sio kuja na machambo juu ya wanaolalamikia hali hiyo, huyo mwenye 59, huenda anajenga nyumba yake ya 2 au ya 3 analalamika kwa vile gharama zimekua kubwa kupita kias tofaut na alipojenga ya kwanza, au hata kama hakujenga hapo awali lakin aliona gharama zilikuaje, lakin je kwa yule aliyeamua kujenga akiwa 28 je kwake hzo gharama ni rahisi. Tunaona kila siku vitu vinapanda bei ovyo ovyo, havina stability kabsa shiling inaporomoka na hatuoni jitihada zozote zinafanyika kuipa thaman shiling angalau iwe na nguvu ya kuhimili hiz gharama, then unataka eti watu wasilalamike kisa walichelewa kuchukua maamuz.

Kingne mtu individual kujenga kwa baadhi nchi nying za magharib na nyingne Africa sio lazima hapa kwetu ni lazima kwa vile serikali imeacha jukum hilo kwa watu individual, haijisumbui tunaona nyumba zinajengwa bila mpangilio na sometime bila hata vibali, serikali ingewekeza kuwajengea na kuwapangisha/kuwauzia watumishi wake pengine toka mwanzo pengine saiv wangekua kwenye hatua ya kujengea mwananchi ata asie mtumishi, watu ni raslimali, watu ni mtaji, watu ni wateja. Kwnye nyumba serikali ingekua serious nchi ingependeza sana sema hakuna miradi ya taifa hili inaweza simama richa tumepewa kila kitu na M.Mungu.
 
Mbona huyu nilikuwa ninamuamini sana . Karogwa lini ? Shida ukiwa ccm ni kama una laana , hata huwe na hekima ya kiasi gani kuna siku utaongea matapishi .... kama huyu kwa kauli yake hii kurudisha imani tena ngumu sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…