Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari Sana!Ukiona hivyo ujue ziraili anamkonyeza
aendeleajeBilali nae ndo anashtuka leo kwamba amerogwa siku zote hizoooo alikuwaga wapi...........?
Hivi kumbe hawa huwa wanakuwa na mabwana zao pamanenti?Arogwe na nani!
Anajishaua tu baada ya kutemwa na bwana ake Mahmood toto la Zenji.
Eeeh. Mbona davto anae pia na ndie anaemuweka mjini. Rio na Noel nao mabwana zao wazungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chaaaHuyu kama kurogwa alirogwa toka tumboni kwa mama yake, maana since day one tunaanza primary pale Mbuyuni alikuwa hivyo hivyo. Nakumbuka hata wanaume wenzake walikuwa wanampiga na kumlazimisha kucheza mpira lkn yeye kutwa tunacheza naye rede.
Kumbe...Eeeh. Mbona davto anae pia na ndie anaemuweka mjini. Rio na Noel nao mabwana zao wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dawa zaidi ya Msumari wa nyama?Kama una dawa msaidie.
DuuhTena wana wivu balaa
Usiombe uwakute kwenye 18 zao wana mahaba wewe unasubiri
Mbona watu wanabisha wakielezwa kuwa mashoga wanazaliwa na ushoga?Mie marehemu Bilali namjua tangu tuko wadogo...nimekuwa nae.
Nawajua vizuri mpaka uvunguni mwao.
Ndugu zake akina Asia, Mande, Sada....ila ndugu zake wanasema alizaliwa hivohivo na hulka za kike.
Duuhh! Hii balaa.Huyu kama kurogwa alirogwa toka tumboni kwa mama yake, maana since day one tunaanza primary pale Mbuyuni alikuwa hivyo hivyo. Nakumbuka hata wanaume wenzake walikuwa wanampiga na kumlazimisha kucheza mpira lkn yeye kutwa tunacheza naye rede.
Kiukweli kwa wengine naweza sema sina uzoefu.Mbona watu wanabisha wakielezwa kuwa mashoga wanazaliwa na ushoga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile harufu ya nnya kuivumilia ujipangeZipo kama hujaingia vizuri
Kumbe alishafariki maskiniMie marehemu Bilali namjua tangu tuko wadogo...nimekuwa nae.
Nawajua vizuri mpaka uvunguni mwao.
Ndugu zake akina Asia, Mande, Sada....ila ndugu zake wanasema alizaliwa hivohivo na hulka za kike.