Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

Kiukweli kwa wengine naweza sema sina uzoefu.
Ila kwa Bilali namjua very well....nimekua nae
Nimecheza nae, nimekaa nae.
Bilali tangu mtoto hajaanza shule alikuwa anapenda makundi ya wasichana.
Watu wakisema kajifunza ushoga ukubwani, nawakatalia kwa herufi kubwa.
Kazaliwa na chembechembe za kike tangu kinda
Ona sasa!... Watu wake wakamtenga, jamii ikamtukana.. mwishowe na yeye kajikataa kaishia kuwa shangingi na malaya mpaka kapatwa na kifo. Angepata msaada wa kisaikolojia huenda angeimudu hali yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly
Jamii nyingi zinachochea vitendo kama hivi mpaka kufikia hatua ya watu kujidhuru au kudhurika.
Laiti angepata msaada wa kisaikolojia mapema kama unavyosema, huenda tatizo lake lingetibika likiwa bado la moto kabisa
 
Back
Top Bottom