Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

Na james delicious nae karogwa? Bora mashoga wa zamani walikuwa wanavaa kama wanawake mawigi kanga n.k hawa wa siku hizi wanavaa kama wanaume kabisa kuwatambua vigumu hadi ajitangaze mwenyewe
Mkuu SHOGA hata Avae KANZU,,,akikutana na MENDE wanajuana.,,nasikia ETI shoga akipita SEHEMU kama kuna MENDE huwa ANAJAMBA GHAFLA TU,,na MENDE akimuona SHOGA nasikia MASIKIO yanasimama ghafla,,kama MBWA KAONA PAKA....basi lazima wapeane ISHARA,,,hata kama ndy wameonana kwa Mara ya kwnz,, lazima Watambuane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwambie ajee ni msaidie kumtibu....mi mganga
 
Akachome sindano ya kuongezaTestosterone au anywe dawa za wanamichezo wa kiume za kuongeza nguvu.Ikitokea nakuwa rahisi wa nchi hii ni lazima Mashoga wote wachomwe hii sindano na wasagaji wachomwe na ile ya oestrogen

Ukiwa Rais Na ukafanikiwa kutokomeza Ushoga, Mabeberu watatunyima misaada hivyo hufai
 
Back
Top Bottom