Ona sasa!... Watu wake wakamtenga, jamii ikamtukana.. mwishowe na yeye kajikataa kaishia kuwa shangingi na malaya mpaka kapatwa na kifo. Angepata msaada wa kisaikolojia huenda angeimudu hali yake.Kiukweli kwa wengine naweza sema sina uzoefu.
Ila kwa Bilali namjua very well....nimekua nae
Nimecheza nae, nimekaa nae.
Bilali tangu mtoto hajaanza shule alikuwa anapenda makundi ya wasichana.
Watu wakisema kajifunza ushoga ukubwani, nawakatalia kwa herufi kubwa.
Kazaliwa na chembechembe za kike tangu kinda
Nilijua nitakutana na comment kama hii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]mbona mzuri hivo? dah anatushinda hata wanawake
Mungu wangu huko dar mnashida hebu weka picha zaoEeeh. Mbona davto anae pia na ndie anaemuweka mjini. Rio na Noel nao mabwana zao wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikutafutieMungu wangu huko dar mnashida hebu weka picha zao
ExactlyOna sasa!... Watu wake wakamtenga, jamii ikamtukana.. mwishowe na yeye kajikataa kaishia kuwa shangingi na malaya mpaka kapatwa na kifo. Angepata msaada wa kisaikolojia huenda angeimudu hali yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo uliyemjibu mwenyewe shoga...hahahahhahaaExactly
Jamii nyingi zinachochea vitendo kama hivi mpaka kufikia hatua ya watu kujidhuru au kudhurika.
Laiti angepata msaada wa kisaikolojia mapema kama unavyosema, huenda tatizo lake lingetibika likiwa bado la moto kabisa
muambie ukweli tu halafu Madame B mdada wa down town kitambo atakupa michongo mingiii saaana hata huko dodoma alipo sasa hiviHapana bhana.
Ila hata mashoga wana haki ya kuishi na kushaurika pia
Nijibu, maana usijekuwa unamletea hadi kaka nyumbaniWifiiiii
Khaaa!!!!
Hahahahha
Hahahha
Umenikumbusha kitu....ngoja nikae kimya.
Hapana bhana.
Nilikuwa nampa moyo tu jamani.
Umejuaje au wewe ni Mme waoTena wana wivu balaa
Usiombe uwakute kwenye 18 zao wana mahaba wewe unasubiri
Mimi ni mume wa baba yako mzazi.