Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

Umemfikishia ujumbe wangu anti Bilali hapo Manyanya? au Manyanya kahama?

Ahame Manyanya ana pa kwenda?
Mtu mwenyewe nasikia analala chumba kirefu, wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka.
Daadeki.
 
hayanihusu

Na kweli hayakuhusu coz ni mambo ya kike.
Umbea una fani yake.
Msalimie mdozo mwenzio Yo Yo, mwambie akimaliza :ban: anitafute.
 
Last edited by a moderator:
Na kweli hayakuhusu coz ni mambo ya kike.Umbea una fani yake.Msalimie mdozo mwenzio Yo Yo, mwambie akimaliza :ban: anitafute.
sasa kwanini ulini mention?na unataka kuniambia wanaume waliocomment humu wana mambo ya kike?
 
Last edited by a moderator:
kurogwa awe shoga? mh............................
 
Akachome sindano ya kuongezaTestosterone au anywe dawa za wanamichezo wa kiume za kuongeza nguvu.Ikitokea nakuwa rahisi wa nchi hii ni lazima Mashoga wote wachomwe hii sindano na wasagaji wachomwe na ile ya oestrogen

Utakesha bidada
 
itakuwa karogwa kweli huyu lol, maana hana haya hata kidogo kiasi anabeba pochi za kike na handbags za kike kabsaaaa
 
sijawahi ona mganga akitangaza kufanya watu mashoga...

kugongwa nyuma kuna usababishi wake mwingi tu behind the camera..

let them be eaten, but one day they will diarrhea 5 times in 30 minutes and die in pain! ( std 7 english! lols!)
 
Aya wale waganga wa kumuachisha ushoga shangazi Bilal kwa dawa ya kupaka kwenye dudu kisha kuingiza kwenye opposition papuchi muda wenu umefika nendeni kwa zamu mgonjwa hana ugomvi na dawa
 
Aya wale waganga wa kumuachisha ushoga shangazi Bilal kwa dawa ya kupaka kwenye dudu kisha kuingiza kwenye opposition papuchi muda wenu umefika nendeni kwa zamu mgonjwa hana ugomvi na dawa

asituchoshe huko,akatubie kwa mungu wake,ataacha!alijiloga mwenyewe..mxiuu
 
asituchoshe huko,akatubie kwa mungu wake,ataacha!alijiloga mwenyewe..mxiuu

Sio kosa lake ni watu wake wa marketing ambao ni clouds fm ndio wamemrudisha kwenye peak,Mungu anisamehe siwapendi hawa wadudu mashoga natamani wafutike kwenye uso wa dunia.
 
Madame B mbona ka yaelekea we ndo umemchukua bwana ake Anti Bilal Mahamoood ya Zenjiiiiiii
 
Unajua hili swala la mashoga na wasagaji. Lilinifanya kufikiria sana.Na kati kufikiria nikagundua hawa mashoga wanapatwa na nani? Nikaona ni sisi wanaume tu. Wengi hapa tuko kinafiki tunaficha hali zetu kwamba tunapenda kale kamchezo kwa siri. Halafu tunakuja kwenye public na kuwatukana na kuwakejeli.

Hv sasa nina mtoto wa kiume.Zamani kuwa na mtoto wa kike ilikuwa roho juu, muda huu ni wote maana hujui anakutana na nani wanafundishana ujinga.
Nachoweza kusema, naomba msitoe maneno ya kashfa na matusi kama bado hujazaa au kuwa na watoto. Siku likukufika wewe sijui utasema nini. Mtu kaamua kuwa shoga mwacheni . Mimj huwa irritated sana na malengo yao ya kutaka kutambulika kila nyanja kwamba its ok kuwa gay. No its not okay for me.kama uko gay kaa huko fanya yako nami nafanya yangu.
I think we can still co-exist na kuheshimiana. Kuhusu sababu mtu anakuwa shoga nathani itabaki kuwa my own opinion . Lakni nachojua ni kwamba kuna hormone imbalances inatokea mwilini na mtu hujisikia tofauti. Kuna dawa za kutatua hili swala cha kushangaza badala ya kutibu wengi wao huongeza hizo hormone ili wawe wanawake zaidi badala ya kidume. Na baadaye katka maisha yao hawa watu hurukwa na akili. Nathani kwa kina zaidi haya ni mapepo . Na tuombe mwenyezi Mungu atusaidie sisi sote tukae mbali na hv vitu.


The king.
 
Huyu kama kurogwa alirogwa toka tumboni kwa mama yake, maana since day one tunaanza primary pale Mbuyuni alikuwa hivyo hivyo. Nakumbuka hata wanaume wenzake walikuwa wanampiga na kumlazimisha kucheza mpira lkn yeye kutwa tunacheza naye rede.
 
Hii habari nishapitwaaa lol wala sasa hajaolewaaa
 
Back
Top Bottom