Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Ukitoa maoni yako kwa kipeperushi, kama alivyofanya Mtikila, unakamatwa.

Ukitoa hisia zako kwa mziki, kama alivyofanya Sugu, unakamatwa.

Ukionyesha ishara ya Chadema, kama walivyofanya wananchi huko Moshi, unapigwa na vijana wa CCM, na polisi wakitazama.

Utakimbilia mahakamani? Kwani hicho bado ni chombo huru?

Nabashiri kwamba kukaribia uchaguzi mkuu, ukionekana barabarani, kama wewe sio CCM, utapigwa au utakamatwa. Si Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM wameshatangaza rasmi kwamba serikali ni yao, wanaweza kufanya lolote na hakuna mtu wa kuwauliza?

Nikiwa JKT Mafinga na Masange, tulikuwa tunaimba: "Kaburu wee, wacha matata, hiye hiye, wacha matata!" Sasa itabidi tuanzishe mchakamchaka mitaani tukiimba: "CCM wee, wacha matata, hiye hiye, wacha matata!".

Ila tuwe tayari kukamatwa, kunyanyaswa na hata kupigwa. There are no free lunches. Freedom costs!

Nampongeza Sugu na kumpa pole kwa ushujaa wake. Lazima hata hii Bongo iwe na akina Mandela na Sisulu wake, ndipo itoke hapo nchi. Bravo Sugu, bravo Mtikila, Aluta continua.
 
Ujumbe ungeweza kuwafikia walengwa bila kutumia lugha chafu kiasi hichi. Wasanii wa bongo kwa kuinga mambo ya USA, Tanzania wataishia lupango!!
 
CAP. 16 of Laws, 89 (2) (a)

Any person who:

with intent to intimidate or annoy any person, threatens to injure, assault, shoot at or kill any person

is guilty of an offense and is liable to imprisonment for one year.
 
naona mpaka sasa hakuna mwenye habari ya uhakika kuhusiana na hizi tetesi
 
pole
mungu halali
kp t up
alutaaaaaaaaaaaaaaaa .............coooooooooooooontinuaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sugu ameonyesha njia kwa vijana wa Bongo kuwa wanaweza kuleta changamoto kama wakiondoa woga. Watawala washenzi hawaondelewi kiungwana maana hawatakubali, historia inadhibitisha hilo.
 
Kuna thread nimeisoma leo, hapa hap JF inasema Sugu amekamatwa na Polisi.
Iko celebreties' forum. Technolojia imeniacha kidogo, nimeshindwa kuattach hiyo thread hapa.

Naomba mods waunganishe iwethread moja.
 
Mtu hatishii kuua kwa kutunga nyimbo na kuimba polisi waache ubabaishaji kabisa.....Wamekosa kazi ya kufanya majambazi wanawashinda kila siku raia wanauwawa wanashoboke chorus ya wimbo...kisa eti inasema I Wanna Kill You Right Now, upuuzi mtupu wasipoteze kodi zetu kwa kuchunguza mambo ya kijinga huku masuala ya msingi wanayakwepa. Leo nikiimba ukiniacha mpenzi nitajiu polisi watachunguza kisa nimetishia kujiua.
 
Mbona KALA PINA aliimba matusi kuliko haya
 
CAP. 16 of Laws, 89 (2) (a)

Any person who:

with intent to intimidate or annoy any person, threatens to injure, assault, shoot at or kill any person

is guilty of an offense and is liable to imprisonment for one year.

Kama mahakama iliwaachia watu walioshiriki katika kupanga na kutekeleza mauwaji kwa sababu tu eti aliyehusika moja kwa moja kuuwa hakuwepo mahakamani/hakutiwa hatiani, sioni ni vipi utamfunga mtu aliyesema tu 'I wanna kill you' pengine bila hata huyo anayeambiwa atauwawa kuwapo!
 
Mtu hatishii kuua kwa kutunga nyimbo na kuimba polisi waache ubabaishaji kabisa.....Wamekosa kazi ya kufanya majambazi wanawashinda kila siku raia wanauwawa wanashoboke chorus ya wimbo...kisa eti inasema I Wanna Kill You Right Now, upuuzi mtupu wasipoteze kodi zetu kwa kuchunguza mambo ya kijinga huku masuala ya msingi wanayakwepa. Leo nikiimba ukiniacha mpenzi nitajiu polisi watachunguza kisa nimetishia kujiua.
 
Hivi hawa POLISI wamewahi kusikia ile mixtape ya KIKOSI CHA MIZINGA?
 
CAP. 16 of Laws, 89 (2) (a)

Any person who:

with intent to intimidate or annoy any person, threatens to injure, assault, shoot at or kill any person

is guilty of an offense and is liable to imprisonment for one year.

Mkubwa hizi sheria za bongo, mbona DITOPILE alipiga mtu risasi then akaachiwa
 
Kuna matukio mengi ya kutisha nchi hii leo police wanatakiwa kuyashughulikia leo hii wanahangaika na nyimbo za Mr Sugu ..iko kazi
 
Nitaenda kuwashtaki kwa mganga wangu.... it seems is a serious case eeh, tutafikishana pabaya namna hii. Ndo maana sometimes rafiki yangu mmoja alikuwa ana-doubt kuandika hapa aikihoji usalama wa taarifa zake.
God Save Us

Mwambie asihofu!

Awe mzalendo tu!

Hawataishi milele wazandiki!

Kilio cha mnyone ni kilio cha ukombozi!
 
Hiyo itakuwa ndo sababu, ila sina hakika walalamikaji watakuwa nani maana hajamtaja mtu au organization kwa jina kamili mle.

yetu macho na masikio

No amataja majina bana na org!

Lakini amesema pia na mabaya wanayoyafanya!

Waliomshtaki wake hayo!

Jamani wapwaz Dar nikamatieni hiyo mix tape tafadhali! Ningependa kuisikiliza yote!
 
Angewafyatua Kusaga na Januari Makamba (or better still, JK mwenyewe) siyo foot soldiers kina Kibonde na Ruge. Hapo ndiyo ningeona jamaa kweli starring..

Angalau ameanzia hapo!

Weye umefanya nini?

Inaweza kuwa strategy ya kuwafikia Big shorts!
 
Back
Top Bottom