Siku zote alikuwa wapi ,hasira zote ni baada ya kuzidiwa kete,mtu unatakiwa kufanya mambo sio kutokana na visasi au mijihasira huko ni kuleta mtafaruku kwa kuwaingiza katika mitafaruku isiyo ya lazima na wengine ambao. Hufuata tu mambo bila kujua chanzo na athari zake,leo ugomvi wa Mr Sugu na Clouds una anza kuwahusisha hata wasiohusika,kama bifu Mr Sugu aifanye yeye peke yake mbona kwenye mchongo alichonga alone bila kuwashirikisha hao wengine na je kabla ya hapo alikuwa hajui mabaya ya Clouds?mbona alikaa kimya wakati wengine wakipokwa haki zao ?leo zamu yake sasa ndio anajifanya mtetezi wa wote ,hapana wasanii kataeni kuingizwa katika mambo yasiyowahusu