Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

ahahahahah...kwanini imekuwa"moved"..na imemoved-iwa wapi?...na nani ame-moved?
 
Ime pelekwa kwenye jukwaa la pongrzi na malalamiko, maana hizo ni shtuma juu ya JF
 
Huyu jamaa anayeeneza NGOMA kwa makusudi ni kiboko.
Kama sio kweli ajitokeze apime na kushtaki. Sitashangaa kama ni ukweli maana Bongo watu wenye hela wanaeneza UKIMWI makusudi na hamna mtu wa kuwabana.
Ninawasikitikia wasichana wanaokutana na zahama hilo, lakini kwa vile kuna mashoga wanaweza pia kuwa vijana.
 
Wabongo bwana,kuna jamaa wanauza hii mixtape
 
Angalia kwenye thread hii utaona link ya kudownload
 
Angalia kwenye thread hii utaona link ya kudownload

sasa mtu ambaye hana access na mtandao lazima auziwe maanake nita download then nimuwekee kwenye cd halafu nimpe,process nzima inahitaji pesa......
 
Siku zote alikuwa wapi ,hasira zote ni baada ya kuzidiwa kete,mtu unatakiwa kufanya mambo sio kutokana na visasi au mijihasira huko ni kuleta mtafaruku kwa kuwaingiza katika mitafaruku isiyo ya lazima na wengine ambao. Hufuata tu mambo bila kujua chanzo na athari zake,leo ugomvi wa Mr Sugu na Clouds una anza kuwahusisha hata wasiohusika,kama bifu Mr Sugu aifanye yeye peke yake mbona kwenye mchongo alichonga alone bila kuwashirikisha hao wengine na je kabla ya hapo alikuwa hajui mabaya ya Clouds?mbona alikaa kimya wakati wengine wakipokwa haki zao ?leo zamu yake sasa ndio anajifanya mtetezi wa wote ,hapana wasanii kataeni kuingizwa katika mambo yasiyowahusu

Duh unaonekana ni mgeni wa gemu la hip hop ya Bongo. Mbona alishaanza siku nyingi! Mixtape ni level fulani na huwa ipo! msibani mwaweza kuwa wengi pia japo harusini walikuwa wachache. kinachowakusanya ni mahusiano yasiyofanana. Ukiweza pambana nao ukishindwa ungana nao
 
Sheria ya UKIMWI inahitaji kusomwa jamani. Wote wametajwa kwa makosa hayo yakithibitishwa bila shaka yoyote. Anayemtaja mtu kuwa ana maambukizi ya VVU atakuwa amefanya kosa la unyanyapaa, na anayefanya maambukizi kwa makusudi huku akijua ana kosa hilo na imeelezwa kwa kina japo sheria yenyewe haina maelezo ya kina na mpaka leo sijaona kanuni zake ili isaidie kuwabana wahalifu. Kwa mfumo uliopo sheria kuu itaangalia mazingira ya kosa na kutoa hukumu yenye upendeleo kidogo hasa kunapokuwa na shaka japo kidogo
 
Umeisikiliza hii tape? Inaonekana kuna watu wengi wa bongo flava wapo genuinely mad and angry, na hasira zao zinaelekezwa kwa director wa Clouds Entertainment/Primetime Promotions Ruge Mutahaba.

Katika ongeaongea na pitapita mtaani na among the Tanzania hip hop community the cd is spot on! It is an interesting collection, rapped/sang over American inspired beats, with no corners cut as choice words and matusi kama kawa.

Somewhere in them there is a mention of "volume 1", giving the impression that more is to come - rumor has it that the heads of marketing and advertisement of various firms are next! Someone has even put out a youtube video of Sugu's song titled "Anti virus."

Talk about angry young black men...........this cd brings it out loud and clear. :A S 39:
 
hii mix tape ni noma coz wajuba wamechana wazi wabwenzi wanaozingua hii muzic indutry
 
Back
Top Bottom