Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imemuviwa wapi?
Mod tuambie mmeiweka wapi?
Wabongo bwana,kuna jamaa wanauza hii mixtape
Angalia kwenye thread hii utaona link ya kudownload
Siku zote alikuwa wapi ,hasira zote ni baada ya kuzidiwa kete,mtu unatakiwa kufanya mambo sio kutokana na visasi au mijihasira huko ni kuleta mtafaruku kwa kuwaingiza katika mitafaruku isiyo ya lazima na wengine ambao. Hufuata tu mambo bila kujua chanzo na athari zake,leo ugomvi wa Mr Sugu na Clouds una anza kuwahusisha hata wasiohusika,kama bifu Mr Sugu aifanye yeye peke yake mbona kwenye mchongo alichonga alone bila kuwashirikisha hao wengine na je kabla ya hapo alikuwa hajui mabaya ya Clouds?mbona alikaa kimya wakati wengine wakipokwa haki zao ?leo zamu yake sasa ndio anajifanya mtetezi wa wote ,hapana wasanii kataeni kuingizwa katika mambo yasiyowahusu
What is ubwabwa and ngoma? is it rice and drum?Kusema watu fulani ni mabwabwa au/na wanaeneza ngoma? Hata kama ni fact, it is enough to send him to hell.