Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Keshatangaza kuwa yeye ni Chadema vitisho havina nafasi tena. Let them be careful kwani wanaweza kujikuta wanalipa compesation kubwa kwa ajili ya ignorance yao ya kushabikia siasa kwa kila kitu.


Mkuu Mchukia Ufisadi unajua shida ni nini! Mixtape ilikuja mtaani kabla hawa jamaa hawajachukua kadi zao za Chadema.. sasa it's too late kusema kuwa waache wanachokifanya maana wananchi kibao wamekamata kopi zao za bure na wengine wanachkua online. Cha muhimu ni kwamba labda jamaa wakae chini wazungumze maana kama hii project inaenda mpaka Volume 10 inaweza ikaleta rabsha kubwa sana.
 
Nyani Ngabu..

What is an issue with this dude?
 

Hakuna rabsha wala nini, Walioimbwa wamewasiliana na wapambe wao waliopewa dhamana ya nchi wakati wengine hata familia ziliwashinda kuziongoza na kwa kutumia nafasi hiyo wanazidi kulidhalilisha jeshi la polisi. Unajua zamani watu wengi tulikuwa hatujui haki zetu, yaani "Mtu akikamatwa na polisi anaanza kulia" na kuomba msamaha hata kama kosa halijui, Polisi wa CCM bado wanamtazamo huo wa kutisha wananchi wanashindwa kujua kuwa dunia ya sasa ni nyingine, kuwa askari polisi inamaana ni kujenga trust na public siyo uadui.
 
"...Alichosema ni "I wanna kill right now" kitu ambacho kinaweza kutafsiriwa a thousand and one ways, I wanna kill this track, I wanna kill mediocrity, I wanna kill my opponents lyrically etc etc. Hawa polisi akili mgando sana..."
Kiranga ndugu yangu - Polisi akili zao sio mgando kama unavyofikiria! Ila hazimo kabisa. Wanaamriwa nenda kushoto kulia chuchumaa, galagala wanafanya yote hayo...lakini wanajua wanachofanya!

Hawa ni wasomi na wengi wanaoweza kutuma wamehitimu chuo kikuu wana digrii ya sheria moja au mbili la sivyo wana ile diploma yao ya sheria. NI AKILI CCM, na labda hiyo tuiite AKILI MGando...Lakini amini usiamini TUTAFIKA, LET US PLAY OUR PART!
 
Wamesaidia kwa namna nyingine kuitangaza anti virus, hata ambao walikuwa hawajaisikia sasa wataitafuta waisikilize sugu kaimba nini?
 
Kajitakia mwenyewe...nani alimwambie aimbe matusi kwenye nyimbo...all that long alikuwa akiimba vitu vya busara...hakuwa na njia mbadala ya kuimba machungu yake mpaka atangaze privacy za watu..?Koleo liitwe kolea...kama alikuwa na uchungu...angeiga mfano wa bondeni wenzeti wametoka mbali ukingalia nyimbo zao zote za kudai haki...either uhuru au hata kama ni mslahi watumia tungo ambazo zifikisha ujumbesi kwa matusi.That mix tape ilionyesha some low esteem ya mr.II kama anavyo jiita...sikuipenda binafsi haya ni mawazo yangu binafsi...kutukana kwa namna ile mhh.First kama kaibiwa au kadhulumiwa...kutukana ndio pesa zitarudi?Noo...huyu bwana kama wamemkamata kwa ajiri ya kusambaza nyimbo za matusi kwenye jamii kinyume na maadili...mwanye akanyee ndoo kwanza..atapata akili...
 
hizo mixtape mbona hatuzioni huku uswahilini kwetu? ni sampling method gani inayotumika kuzisambaza?
 
Eeeh sawasawa bongo tambarare instead i wanna kill you please put i wanna love you.............
Pole sana sugu
 
Sugu killed them with his lines on that song.ha ha ha ndio maana polisi wakaambiwa ni maneno ya kisanii na nadhani sugu aende na mtaalam wa lugha hili wapewa tafsiri nzima ya sanaa ya mziki.Sugu anataka kuwaua kwa kutumia nyimbo sio risasi au kisu lol,polisi wetu wanapenda sana kujidhalilisha sijui kwanini.
 
Anything bad with this 'I wanna kill you"?
Nope... at least you know the intention!! tena afadhali huyu kuliko akina siye tunaojifanya safi wakati tunasambaza virusi na kujifanya wazalendo na mabingwa wa kuchambua wenzetu
 

Abdulhalim, take this as light touch. In your avatar, there are two caricatures, this one, having realized the other caricature is the culprit who stole his hut and swallowed it into his belly, he rips out his belly and takes back his property...

There will be blood, and blood it is...
 

Bwe he he he..

Peace wajameni, sisi sote ni vijana...tena waTz. Tuache hiyo miugomvi. Tudai haki kwa njia ya amani na kufuata sheria. Kama Dr. King au Mandela wangetumia jazba wangeachieve kitu chochote? Au nipe mfano wa mtu aliyefanikiwa kupata haki yake kwa njia ya vurugu au nje ya utaratibu wa kueleweka.
 
Angewafyatua Kusaga na Januari Makamba (or better still, JK mwenyewe) siyo foot soldiers kina Kibonde na Ruge. Hapo ndiyo ningeona jamaa kweli starring..
 
Kama ukisikiza ile tape iliowekwa hapa JF, there is enough damage ambaye unaeza kumpeleka Sugu kortini.
 

Hata Notorious na 2Pac used the same artistic words and in the end all of us know what happenned!!! So such words can never be taken simple like that.

Maneno huumba to me if u tell me " You wanna kill me" i will never be in peace with you cos i know that what is in your sub conscious mind and if you get the chance you will definetely do it!
 



mimi hawa ningewatetea ..clouds na kibonde wao....lakini mbona wao walikosa busara na kushindwa kuwatetea wafanyakazi wa umma au basi wakae kimya kama redio nyingine!!!....hata tbc ..hawakuponda wafanyakazi kama clouds...........waliotumia lugha chafu kwa wafanyakazi mwezi mzima na viongozi wao kina mgaya wakawadhalilisha...yote hii kwa kulipwa pesa na task force ya ikulu ya kuzuia mgomo wa wafanyakazi!!!!........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…