Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Nimepata taarifa kuwa Antivirus Volume II imetoka tafadhali Mkoloni, SUGU au Lusajo kama mnafuatilia huu mjadala tunaomba link tujiliwaze..:smile-big:
 
Suguu uko juu sikuwahi kusikiliza huu wimbo kumbe kibonde anyeongelewa kila siku kachanwa hizi big up sugu!!!!!!!!!!! sugu moto chini
wanakuita nani suguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Nimetokea kusikiliza album ya ANTI-VIRUS Ya Mr 2 ... NI MATUSI MWANZO MWISHO KWA CLOUDS RADIO!...
Inawezekana Mr 2 ana hasira na radio hiyo kwa kile walichomtendea...lakini je haikuwepo uwezekano mwingine wa kudai haki badala ya kutoa lugha ya matusi? Nyimbo hizo zimerekodiwa vizuri mno, rythm and melody is excellent lakini hayo maneno unaweza kuzirai kama una roho ndogo.

Najiuliza tu, sasa hivi ni mbunge - mwakilishi wa wananchi....je wananchi wa jimbo lake wanajisikiaje kuwa na mwakilishi asiyejua njia muafaka ya kutatua migogoro?

Mr 2 ATAKUWA ANASHIRIKI KUTUNGA SHERIA, JE ANAJUA KUWA ALICHOKIFANYA - KUTUKANA NA KUSAMBAZA MATUSI HAYO KWA JAMII NI KOSA?
 
......mama ebu mwaga mistari kidogo.....siwengine hatupata nafasi ya kusikiliza........!
 
Nimejaribu keyboard ikagoma....

Album hiyo haiuzwi..inagawiwa bureeeee... ina nyimbo nadhani 9! pata kopi yako usikilize mwenyewe ndugu yangu.
 
Nimetokea kusikiliza album ya ANTI-VIRUS Ya Mr 2 ... NI MATUSI MWANZO MWISHO KWA CLOUDS RADIO!...
Inawezekana Mr 2 ana hasira na radio hiyo kwa kile walichomtendea...lakini je haikuwepo uwezekano mwingine wa kudai haki badala ya kutoa lugha ya matusi? Nyimbo hizo zimerekodiwa vizuri mno, rythm and melody is excellent lakini hayo maneno unaweza kuzirai kama una roho ndogo.

Najiuliza tu, sasa hivi ni mbunge - mwakilishi wa wananchi....je wananchi wa jimbo lake wanajisikiaje kuwa na mwakilishi asiyejua njia muafaka ya kutatua migogoro?

Mr 2 ATAKUWA ANASHIRIKI KUTUNGA SHERIA, JE ANAJUA KUWA ALICHOKIFANYA - KUTUKANA NA KUSAMBAZA MATUSI HAYO KWA JAMII NI KOSA?
WOS... you are right!

At first i had the same feeling and i asked his pals about the impact, the truth is, the album has been more popular in Mbeya and that could just be an indicator of how far down teh road we have gone kimaadili but also means of expressing ourselves

Kiujumla the album ina lugha ya hasira, lakini pia nadhani inaweza kuwa chachu ya mageuzi ya rights za victims.

Bado najiuliza, kipi kianze, kuniibia idea (intellectual rights) au kunitukana kwa nyimbo.... i would say bora unitukane kuliko kuniibia idea... ingawaje at the end tunasema TWO WRONGS WONT MAKE IT RIGHT

ps: nimemuogopa sana sugu kushinda kwani nafananisha na msela kushinda uchaguzi jimbo alilopo Apson na Mwakipesile... he is a really baaaaddd boy:smile-big:
 
Unampa hoja ya kuongea Kibonde!!
there is nothing wrong with that because ndio ukweli, ila we shouldnt underestimate sugu hata siku moja

he has done more than many people could understand, kuanzia kwetu uswahilini, england, Scandinavian countries, US nk

he has proven to be a winner
 
WOS... you are right!

At first i had the same feeling and i asked his pals about the impact, the truth is, the album has been more popular in Mbeya and that could just be an indicator of how far down teh road we have gone kimaadili but also means of expressing ourselves

Kiujumla the album ina lugha ya hasira, lakini pia nadhani inaweza kuwa chachu ya mageuzi ya rights za victims.

Bado najiuliza, kipi kianze, kuniibia idea (intellectual rights) au kunitukana kwa nyimbo.... i would say bora unitukane kuliko kuniibia idea... ingawaje at the end tunasema TWO WRONGS WONT MAKE IT RIGHT

ps: nimemuogopa sana sugu kushinda kwani nafananisha na msela kushinda uchaguzi jimbo alilopo Apson na Mwakipesile... he is a really baaaaddd boy:smile-big:
\

bad boy he is 4sho!
 
nipo huku kwa Ngwazi Bingu wa ........! so difficult to get hiyo copy.........! ningependa nisikie au nisome hayo meneno then nimjudge Mh. Sugu!
 
as a true fan of bongo flavour music, sugu yupo mbali sana kiakili na kimawazo kuliko wanamuziki wote tanzania, kitu ambacho sugu alikiwaza na kukifanya miaka ya tisini wakina profesa jay na ay wanakiwaza leo,
* sugu ndo msanii wa kwanza kugoma kuimba bure kwenye mashindano ya yoo rap bonanza miaka ya 1994 wakati huo profesa jay na kina ay ni mashabiki tu wa mziki,
*pia mwaka 1996 aligombana na muhindi kwa kuuza album yake ya kwanza hadi kwenye dola kitu ambacho wakina ay na diamond wanaibiwa mpaka leo wanaogopa kushtaki, *sugu yeye tour za abroad wanazofanya kina mwana fa leo yeye alifanya miaka ya 98 na kufikia 1999 sugu alifikia kiwango cha kurekodi album nzima holland iliyoitwa nje ya bongo kitu ambacho kina ay na prof jay na jaydee hawajafanya mpaka leo,
*ni msanii wa kwanza kuinyoshea kidole clouds kuwa ni wanyonyaji bila kuogopa kutoswa kupigiwa nyimbo zake kitu ambacho kina prof jay na ay mpaka leo wanajipendekeza kwa ruge mutahaba ili wapate show kweli njaa mbaya,
**ni msanii wa kwanza bongo kufatilia michongo mikubwa kama malaria no more aliyodhulumiwa na clouds na ruge kitu ambacho ladyjaydee au mwana fa hajui hata kuomba tenda ya kufanya graduation primary,
**sugu ni msanii wa kwanza kutaja mafisadi wa music kupitia albam ya antivirus ambayo amesema yote bila kuficha wala kuogopa na kuisambaza mtandaoni ukiitaka i search google now,
**sugu ni msanii wa kwanza kugawa album bure tanzania, antivirus inagawiwa bure pande zote haiuzwi,
**mwisho kabisa ni msanii wa kwanza kuwaza dili za pesa ndefu hadi kwenda bungeni tena kwa chama cha upinzani tena kipindi ambacho kina prof jay na ay wanatafuta tenda za kuperfom kwenye concert za ccm kweli sugu ni noma, anapiga hatua za hatari ambazo kina juma nature hawawezi hata wakizaliwa upya, hata ukicheki mawazo yao mda huu, juma nature anawaza bangi, profesa jay anawaza kuwageuka wenzake kwa ajili ya pesa kama alivyowageuka hbc, AY anawaza kumshirikisha jokate kwenye video na thabeet ameshampora now wapo usa, mwana fa anawaza kupendeza, huku sugu anawaza matatizo ya wananchi wa mbeya na investment za kufanya kwa mshahara wa millioni 12 kwa mwezi + posho na marupurupu kibao kitu ambacho hakuna msanii wa bongo flavour anaweza,
**sugu ni zaidi ya mwanamuziki na nina imani kipindi ambacho kina profesa jay na ay wanagombea ubunge sugu atakuwa kwenye uraisi au United nations kama asha rose migiro,
**mwisho kabisa according to all africa.com ni rapper wa kwanza kufanikiwa kuwa member of parliament barani africa, hakuna hip pop artist aliyewahi kufika bungeni
 
Alright, Mods naona hii kwenye hili jukwaa si pazuri sana ipelekeni Celebrities forum,itatuchanganya tuna mambo mazito kidogo sasa hivi kwenye hili jukwaa!
 
Nampongeza sana Sugu kwa hili song, ninao kwenye laptop yangu. Sugu endelea kuwachana mwanzo mwisho.
 
Kila mtz saaizi yuko agaist na clouds kwa kujifanya wapotoshaji.................
 
as a true fan of bongo flavour music, sugu yupo mbali sana kiakili na kimawazo kuliko wanamuziki wote tanzania, kitu ambacho sugu alikiwaza na kukifanya miaka ya tisini wakina profesa jay na ay wanakiwaza leo,
* sugu ndo msanii wa kwanza kugoma kuimba bure kwenye mashindano ya yoo rap bonanza miaka ya 1994 wakati huo profesa jay na kina ay ni mashabiki tu wa mziki,
*pia mwaka 1996 aligombana na muhindi kwa kuuza album yake ya kwanza hadi kwenye dola kitu ambacho wakina ay na diamond wanaibiwa mpaka leo wanaogopa kushtaki, *sugu yeye tour za abroad wanazofanya kina mwana fa leo yeye alifanya miaka ya 98 na kufikia 1999 sugu alifikia kiwango cha kurekodi album nzima holland iliyoitwa nje ya bongo kitu ambacho kina ay na prof jay na jaydee hawajafanya mpaka leo,
*ni msanii wa kwanza kuinyoshea kidole clouds kuwa ni wanyonyaji bila kuogopa kutoswa kupigiwa nyimbo zake kitu ambacho kina prof jay na ay mpaka leo wanajipendekeza kwa ruge mutahaba ili wapate show kweli njaa mbaya,
**ni msanii wa kwanza bongo kufatilia michongo mikubwa kama malaria no more aliyodhulumiwa na clouds na ruge kitu ambacho ladyjaydee au mwana fa hajui hata kuomba tenda ya kufanya graduation primary,
**sugu ni msanii wa kwanza kutaja mafisadi wa music kupitia albam ya antivirus ambayo amesema yote bila kuficha wala kuogopa na kuisambaza mtandaoni ukiitaka i search google now,
**sugu ni msanii wa kwanza kugawa album bure tanzania, antivirus inagawiwa bure pande zote haiuzwi,
**mwisho kabisa ni msanii wa kwanza kuwaza dili za pesa ndefu hadi kwenda bungeni tena kwa chama cha upinzani tena kipindi ambacho kina prof jay na ay wanatafuta tenda za kuperfom kwenye concert za ccm kweli sugu ni noma, anapiga hatua za hatari ambazo kina juma nature hawawezi hata wakizaliwa upya, hata ukicheki mawazo yao mda huu, juma nature anawaza bangi, profesa jay anawaza kuwageuka wenzake kwa ajili ya pesa kama alivyowageuka hbc, AY anawaza kumshirikisha jokate kwenye video na thabeet ameshampora now wapo usa, mwana fa anawaza kupendeza, huku sugu anawaza matatizo ya wananchi wa mbeya na investment za kufanya kwa mshahara wa millioni 12 kwa mwezi + posho na marupurupu kibao kitu ambacho hakuna msanii wa bongo flavour anaweza,
**sugu ni zaidi ya mwanamuziki na nina imani kipindi ambacho kina profesa jay na ay wanagombea ubunge sugu atakuwa kwenye uraisi au United nations kama asha rose migiro,
**mwisho kabisa according to all africa.com ni rapper wa kwanza kufanikiwa kuwa member of parliament barani africa, hakuna hip pop artist aliyewahi kufika bungeni

sugu ni jeshi la mtu mmoja kivitendo na si kimaneno na ma mc wote uliowataja hapo ni kama wadogo zake hakika umehitimisha kuhusu sugu...
 
E bwana niliibuka na hii mada, naona imefutiliwa mbali sasa vipi moderator unaumoja na Clouds nini?????
 
Back
Top Bottom