Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
......mama ebu mwaga mistari kidogo.....siwengine hatupata nafasi ya kusikiliza........!
WOS... you are right!Nimetokea kusikiliza album ya ANTI-VIRUS Ya Mr 2 ... NI MATUSI MWANZO MWISHO KWA CLOUDS RADIO!...
Inawezekana Mr 2 ana hasira na radio hiyo kwa kile walichomtendea...lakini je haikuwepo uwezekano mwingine wa kudai haki badala ya kutoa lugha ya matusi? Nyimbo hizo zimerekodiwa vizuri mno, rythm and melody is excellent lakini hayo maneno unaweza kuzirai kama una roho ndogo.
Najiuliza tu, sasa hivi ni mbunge - mwakilishi wa wananchi....je wananchi wa jimbo lake wanajisikiaje kuwa na mwakilishi asiyejua njia muafaka ya kutatua migogoro?
Mr 2 ATAKUWA ANASHIRIKI KUTUNGA SHERIA, JE ANAJUA KUWA ALICHOKIFANYA - KUTUKANA NA KUSAMBAZA MATUSI HAYO KWA JAMII NI KOSA?
there is nothing wrong with that because ndio ukweli, ila we shouldnt underestimate sugu hata siku mojaUnampa hoja ya kuongea Kibonde!!
\WOS... you are right!
At first i had the same feeling and i asked his pals about the impact, the truth is, the album has been more popular in Mbeya and that could just be an indicator of how far down teh road we have gone kimaadili but also means of expressing ourselves
Kiujumla the album ina lugha ya hasira, lakini pia nadhani inaweza kuwa chachu ya mageuzi ya rights za victims.
Bado najiuliza, kipi kianze, kuniibia idea (intellectual rights) au kunitukana kwa nyimbo.... i would say bora unitukane kuliko kuniibia idea... ingawaje at the end tunasema TWO WRONGS WONT MAKE IT RIGHT
ps: nimemuogopa sana sugu kushinda kwani nafananisha na msela kushinda uchaguzi jimbo alilopo Apson na Mwakipesile... he is a really baaaaddd boy:smile-big:
as a true fan of bongo flavour music, sugu yupo mbali sana kiakili na kimawazo kuliko wanamuziki wote tanzania, kitu ambacho sugu alikiwaza na kukifanya miaka ya tisini wakina profesa jay na ay wanakiwaza leo,
* sugu ndo msanii wa kwanza kugoma kuimba bure kwenye mashindano ya yoo rap bonanza miaka ya 1994 wakati huo profesa jay na kina ay ni mashabiki tu wa mziki,
*pia mwaka 1996 aligombana na muhindi kwa kuuza album yake ya kwanza hadi kwenye dola kitu ambacho wakina ay na diamond wanaibiwa mpaka leo wanaogopa kushtaki, *sugu yeye tour za abroad wanazofanya kina mwana fa leo yeye alifanya miaka ya 98 na kufikia 1999 sugu alifikia kiwango cha kurekodi album nzima holland iliyoitwa nje ya bongo kitu ambacho kina ay na prof jay na jaydee hawajafanya mpaka leo,
*ni msanii wa kwanza kuinyoshea kidole clouds kuwa ni wanyonyaji bila kuogopa kutoswa kupigiwa nyimbo zake kitu ambacho kina prof jay na ay mpaka leo wanajipendekeza kwa ruge mutahaba ili wapate show kweli njaa mbaya,
**ni msanii wa kwanza bongo kufatilia michongo mikubwa kama malaria no more aliyodhulumiwa na clouds na ruge kitu ambacho ladyjaydee au mwana fa hajui hata kuomba tenda ya kufanya graduation primary,
**sugu ni msanii wa kwanza kutaja mafisadi wa music kupitia albam ya antivirus ambayo amesema yote bila kuficha wala kuogopa na kuisambaza mtandaoni ukiitaka i search google now,
**sugu ni msanii wa kwanza kugawa album bure tanzania, antivirus inagawiwa bure pande zote haiuzwi,
**mwisho kabisa ni msanii wa kwanza kuwaza dili za pesa ndefu hadi kwenda bungeni tena kwa chama cha upinzani tena kipindi ambacho kina prof jay na ay wanatafuta tenda za kuperfom kwenye concert za ccm kweli sugu ni noma, anapiga hatua za hatari ambazo kina juma nature hawawezi hata wakizaliwa upya, hata ukicheki mawazo yao mda huu, juma nature anawaza bangi, profesa jay anawaza kuwageuka wenzake kwa ajili ya pesa kama alivyowageuka hbc, AY anawaza kumshirikisha jokate kwenye video na thabeet ameshampora now wapo usa, mwana fa anawaza kupendeza, huku sugu anawaza matatizo ya wananchi wa mbeya na investment za kufanya kwa mshahara wa millioni 12 kwa mwezi + posho na marupurupu kibao kitu ambacho hakuna msanii wa bongo flavour anaweza,
**sugu ni zaidi ya mwanamuziki na nina imani kipindi ambacho kina profesa jay na ay wanagombea ubunge sugu atakuwa kwenye uraisi au United nations kama asha rose migiro,
**mwisho kabisa according to all africa.com ni rapper wa kwanza kufanikiwa kuwa member of parliament barani africa, hakuna hip pop artist aliyewahi kufika bungeni