Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Mbona KALA PINA aliimba matusi kuliko haya
Aliimba nini mie sijasikia bado! Unaweza weka link hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona KALA PINA aliimba matusi kuliko haya
CAP. 16 of Laws, 89 (2) (a)
Any person who:
with intent to intimidate or annoy any person, threatens to injure, assault, shoot at or kill any person
is guilty of an offense and is liable to imprisonment for one year.
Kama ukisikiza ile tape iliowekwa hapa JF, there is enough damage ambaye unaeza kumpeleka Sugu kortini.
Luteni Polisi hawa waliochini ya Kova, yaani akili zao zimeneta kwenye viambaza za selo pale central.Polisi wanajidhalilisha wenyewe, kisanii neno 'kill' linaweza kuwa na maana nyingi sana mfano nikiimba "mchaka mchaka 'chinja', akikatiza mbele 'chinja' '', neno 'chinja' limetumika hapa kusisimua watumiaji tu na si kweli kuwa mtu yeyote atakeyejitokeza mbele atachinjwa.
Nasema wanajidhalilisha kwa maana kuwa hata kama watakuwa wanafanya hivyo kuwafurahisha baadhi ya wanasiasa lakini in a long run kwenye macho ya jamii polisi ndiyo itaonekana kutumika vibaya na si wanasiasa waliojificha.
Kusema watu fulani ni mabwabwa au/na wanaeneza ngoma? Hata kama ni fact, it is enough to send him to hell.Kama kuna ukweli je? Nadhani kutakuwa hakuna defemation
Hakuna kitu chochote kitakachotokea, mara ngapi wasanii wanatumia maneno hayo ya fulani anaeneza ngoma, sema hii imekuja kisiasa zaidi na itakwisha kisiasa, na kadri polisi wanavyozidi kulivalia njuga ndivyo siasa inavyozidi kupamba moto, ona sasa nasikia anataka kugombea ubunge, ndiyo maana nasema haya ni ya kisiasa zaidi ya taaluma za kisheria.Kusema watu fulani ni mabwabwa au/na wanaeneza ngoma? Hata kama ni fact, it is enough to send him to hell.
Mkubwa, Ditopile aliachiwa na mahakama gani?
The Tanzania police = CCM
Mix tape ipo kwenye ile makala ya Mr Sugu awalipua Clouds....... Itafute utaipata humu ndani JF.