Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Do we have anything that resembles prosecutorial discretion or we adhere to that stupid mandatory prosecution principle?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abdulhalim
Mahakama si jinga kiasi cha kupelekewa nyimbo za redioni au mashairi magazetini na kuanza kuhukumu maneno yake. Kinachoendelea hapa ni kutishana na mizengwe kama ya Mtikila, Mr.2 atazungushwa mwisho ataachiwa and nothing will happen.
Polisi nao wamekosa kazi badala ya kupambana na majambazi yanayo 'kill' kikweli kweli wanafuatilia killings za kisanii.
'I wanna kill' kisanii ina taswira nyingi sana ni tofauti na mtu anayekuja nyumbani kwako na kukuambia 'I wanna kill you', kuna vitabu pia vina headings hizo kwa hiyo ukifuatilia sana utakuta wasanii wengi itabidi wapelekwe mahakamani, kina Bob Maley kina Lucky Dube nk wameimba mambo machafu zaidi ya hayo wangeishia mahakamani.
naona maelezo na assumptions zimekuwa nyingi sana. Hoja hapa ni kwamba kosa la kumvunjia mtu heshima ktk jamii au kutishia kuua, haliangalii limetendeka wapi, radioni , mtaani au popote pale. Kitachoangaliwa ni kosa ni lipi, mtuhumiwa ni nani, na ushahidi gani umewasilishwa na upande wa mashtaka, kisha the court will take from there na kuamua kadhia yenyewe kwa muktadha wa sheria zilizopo. Nukta.
Binafsi ningependa sugu atiwe hatiani hata kwa kifungo cha walau wiki moja tu, ili apoteze haki zake za kugombea ubunge, hili litakuwa funzo tosha kwetu sote kuzingatia kufuata sheria na utaratibu, regardless of circumstances.
CCM inaingiaje hapa? Sheria ni kwa wote period.we ni ccm nini?
CCM inaingiaje hapa? Sheria ni kwa wote period.
Katiba.Sugu kakiuka sheria ipi?
Katiba.
50 years of misrule is oppression enough.
Kumbe bifu lako ni kutokugombea ubunge tu, basi huna hoja.Binafsi ningependa Sugu atiwe hatiani hata kwa kifungo cha walau wiki moja tu, ili apoteze haki zake za kugombea ubunge, hili litakuwa funzo tosha kwetu sote kuzingatia kufuata sheria na utaratibu, regardless of circumstances.
Sugu kakiuka sheria ipi?
Katiba.
Wanaikiuka katiba hawapelekwi polisi Abdulhalim
Kumbe bifu lako ni kutokugombea ubunge tu, basi huna hoja.
My Godness imegeuka tena kesi ya kikatiba usifikiri kila kesi ya jinai au madai inakuwa ni kesi ya kikatiba kwa mawazo yako hata mkigombana chumbani baba na mama mtaenda kufungua kesi ya kikatiba LOL! hapa hakuna kesi yeyote ni usumbufu tu wa polisi wetu wa bongo.
Nimekuwa na bifu tena?lol
Bifu kwa lipi haswa?
Kwenye red ndilo bifu lenyewe, unalazimisha atiwe hatiani kwa sheria ipi haswa au mladi uone katiwa hatiani tu, inavyoonekana unafurahia kuona wenzako wametiwa hatiani it is a shame, but be aware that anything goes around comes around.Binafsi ningependa Sugu atiwe hatiani hata kwa kifungo cha walau wiki moja tu, ili apoteze haki zake za kugombea ubunge, hili litakuwa funzo tosha kwetu sote kuzingatia kufuata sheria na utaratibu, regardless of circumstances.
Kwenye red ndilo bifu lenyewe, unalazimisha atiwe hatiani kwa sheria ipi haswa au mladi uone katiwa hatiani tu, inavyoonekana unafurahia kuona wenzako wametiwa hatiani it is a shame, but be aware that anything goes around comes around.
Binafsi ningependa Sugu atiwe hatiani hata kwa kifungo cha walau wiki moja tu, ili apoteze haki zake za kugombea ubunge, hili litakuwa funzo tosha kwetu sote kuzingatia kufuata sheria na utaratibu, regardless of circumstances.
lol, sasa hujaelewa nini? Wewe sema tu kwa mdomo mpana kwamba hukubaliani na maoni yangu. Inaruhusiwa!Mkuu hapa hata mimi nimeshindwa kukuelewa! Kwa mtiririko wa hoja zako nilitegemea ungesema hivi "Binafsi ningependa sheria ichukuwe mkondo wake ili hatimaye haki itendeke". Inasikitisha zaidi kama sababu inayokufanya 'upende' Sugu atiwe hatiani ni ili 'apoteze haki ya kugombea ubunge' hii ni balaa!