Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Do we have anything that resembles prosecutorial discretion or we adhere to that stupid mandatory prosecution principle?
 
Abdulhalim

Mahakama si jinga kiasi cha kupelekewa nyimbo za redioni au mashairi magazetini na kuanza kuhukumu maneno yake. Kinachoendelea hapa ni kutishana na mizengwe kama ya Mtikila, Mr.2 atazungushwa mwisho ataachiwa and nothing will happen.

Polisi nao wamekosa kazi badala ya kupambana na majambazi yanayo 'kill' kikweli kweli wanafuatilia killings za kisanii.

'I wanna kill' kisanii ina taswira nyingi sana ni tofauti na mtu anayekuja nyumbani kwako na kukuambia 'I wanna kill you', kuna vitabu pia vina headings hizo kwa hiyo ukifuatilia sana utakuta wasanii wengi itabidi wapelekwe mahakamani, kina Bob Maley kina Lucky Dube nk wameimba mambo machafu zaidi ya hayo wangeishia mahakamani.

Naona maelezo na assumptions zimekuwa nyingi sana. Hoja hapa ni kwamba kosa la kumvunjia mtu heshima ktk jamii au kutishia kuua, haliangalii limetendeka wapi, radioni , mtaani au popote pale. Kitachoangaliwa ni kosa ni lipi, mtuhumiwa ni nani, na ushahidi gani umewasilishwa na upande wa mashtaka, kisha the court will take from there na kuamua kadhia yenyewe kwa muktadha wa sheria zilizopo. Nukta.

Binafsi ningependa Sugu atiwe hatiani hata kwa kifungo cha walau wiki moja tu, ili apoteze haki zake za kugombea ubunge, hili litakuwa funzo tosha kwetu sote kuzingatia kufuata sheria na utaratibu, regardless of circumstances.
 
naona maelezo na assumptions zimekuwa nyingi sana. Hoja hapa ni kwamba kosa la kumvunjia mtu heshima ktk jamii au kutishia kuua, haliangalii limetendeka wapi, radioni , mtaani au popote pale. Kitachoangaliwa ni kosa ni lipi, mtuhumiwa ni nani, na ushahidi gani umewasilishwa na upande wa mashtaka, kisha the court will take from there na kuamua kadhia yenyewe kwa muktadha wa sheria zilizopo. Nukta.

Binafsi ningependa sugu atiwe hatiani hata kwa kifungo cha walau wiki moja tu, ili apoteze haki zake za kugombea ubunge, hili litakuwa funzo tosha kwetu sote kuzingatia kufuata sheria na utaratibu, regardless of circumstances.

we ni ccm nini?
 
Naomba tuwekewe mashairi na vibwagizo vya wimbo huo ili tuweze kujadili vizuri. Je, ametaja mtu ambaye anataka kumfanyia kitu hicho? Au labda amesema 'I wanna kill you, CCM/ JK'? Lete mashairi tafadhari!

"Kill" kama neno la kiingereza lina maana zaidi ya moja kama ifuatavyo: 1. kill verb ( DEATH )
pron-uk.png
pron-us.png
/kɪl/ v [I or T] to cause someone or something to die Her parents were killed in a plane crash. Smoking can kill. Food must be heated to a high temperature to kill harmful bacteria; 2. kill verb ( FINISH )
pron-uk.png
pron-us.png
/kɪl/ v • [T] to stop or destroy a relationship, activity or experience, Lack of romance can kill a marriage. They've given her some tablets to kill the pain. Kill your speed. • [T] (also kill off) mainly US informal to drink all of something
We killed off two six-packs watching the game. 3. kill verb ( EFFORT )
pron-uk.png
pron-us.png
/kɪl/ v [T] informal to cause someone a lot of effort or difficulty

It wouldn't kill you to apologize. 4. kill verb ( ANGER )
pron-uk.png
pron-us.png
/kɪl/ v [T] informal If you say that someone will kill you, you mean that they will be very angry with you My sister would kill me if she heard me say that, He didn't exactly kill himself trying to get the work finished. (Source: Cambridge Dictionary Online: Free English Dictionary and Thesaurus - Cambridge University Press - Cambridge Dictionaries Online - Cambridge University Press)

Sasa maana ya Mr. II ni ipi kati ya hizi chache nilizoweka hapa?

This beef is just on wax so I don't know what the fuss is all about
 
Abdulhalim,

Huwezi kuwa na hatia ya kutishia kuua kama hakuna mtu yoyote anayetajwa kwamba ulitishia kumuua yeye. Sugu alitishia kumuua kiumbe yupi?

Sugu amekamatwa kwa sababu za kisiasa. Na CCM inahusika. Inataka kuwaogopesha wasanii wote. Kuna uwezekana vile vile mgombea wa CCM jimbo analotaka Sugu kashirikiana na Polisi kumhujumu Sugu.

Like I said, freedom costs. Freedom from kuhodhi madaraka kunakofanywa na CCM. 50 years of misrule is oppression enough.
 
Binafsi ningependa Sugu atiwe hatiani hata kwa kifungo cha walau wiki moja tu, ili apoteze haki zake za kugombea ubunge, hili litakuwa funzo tosha kwetu sote kuzingatia kufuata sheria na utaratibu, regardless of circumstances.
Kumbe bifu lako ni kutokugombea ubunge tu, basi huna hoja.
 
My Godness imegeuka tena kesi ya kikatiba usifikiri kila kesi ya jinai au madai inakuwa ni kesi ya kikatiba kwa mawazo yako hata mkigombana chumbani baba na mama mtaenda kufungua kesi ya kikatiba LOL! hapa hakuna kesi yeyote ni usumbufu tu wa polisi wetu wa bongo.

Unajua wanasema usipoeleweka usihofu, ila shikwa na hofu pale unaposhindwa kuwaelewa wengine.
 
Nimekuwa na bifu tena?lol

Bifu kwa lipi haswa?

Binafsi ningependa Sugu atiwe hatiani hata kwa kifungo cha walau wiki moja tu, ili apoteze haki zake za kugombea ubunge, hili litakuwa funzo tosha kwetu sote kuzingatia kufuata sheria na utaratibu, regardless of circumstances.
Kwenye red ndilo bifu lenyewe, unalazimisha atiwe hatiani kwa sheria ipi haswa au mladi uone katiwa hatiani tu, inavyoonekana unafurahia kuona wenzako wametiwa hatiani it is a shame, but be aware that anything goes around comes around.
 
Unaigeuza scenario ki-chademachadema hilo ndio tatizo lako. Mi naongea from neutral point of view kwamba hata kama mtu unadai haki hutakiwi wewe mdai uanze ku-attract attention mbaya kwa kutukana watu na kutoa kauli ambazo zinaweza kukuletea matatizo. Huo ndio mtizamo wangu na any fair and logical human being I believe shouldn't have difficulty to understand that..kwamba hoja zake angeweza kuzitafutia platform ya kisanii au vyovyote lakini akachagua presentation au PR yenye akili na ujumbe ukafika.

Narejea tena, Sugu kama washtaki wake wako serious wanachukua hii kitu kwa 100%.thats my belief, kwa wale wengine wote, siasa zenu uchwara ziheshimu sheria za nchi, maana sisi wengine hatuzifagilii wala nini. Sheria ni msumeno na kila mmoja ni mteja regardlessly. PERIOD.
 
Binafsi ningependa Sugu atiwe hatiani hata kwa kifungo cha walau wiki moja tu, ili apoteze haki zake za kugombea ubunge, hili litakuwa funzo tosha kwetu sote kuzingatia kufuata sheria na utaratibu, regardless of circumstances.

Mkuu hapa hata mimi nimeshindwa kukuelewa! Kwa mtiririko wa hoja zako nilitegemea ungesema hivi "Binafsi ningependa sheria ichukuwe mkondo wake ili hatimaye haki itendeke". Inasikitisha zaidi kama sababu inayokufanya 'upende' Sugu atiwe hatiani ni ili 'apoteze haki ya kugombea ubunge' hii ni balaa!
 
lol, sasa hujaelewa nini? Wewe sema tu kwa mdomo mpana kwamba hukubaliani na maoni yangu. Inaruhusiwa!
 
Back
Top Bottom