Antonio Conte, kocha mzuri anayeenda chelsea kudhalilika kwa tamaa ya pesa


Kwahiyo ulitaka hadi Morinyo atushushe daraja ndo ufurahi? Hukuona mwenendo wake ulivyokua mbovu mwishoni!?
 
Hii kitu kibongo bongo inaitwa ramli chonganishi!!
 
[emoji170] Habari Tanzania
[emoji843]Napenda kuitambulisha kwenu page mpya ya washabiki wa chelsea Tanzania.
[emoji843]Page itakua na habari zote muhimu kwa ajili yako mnazi wa chelsea
[emoji843]Mawazo yenu ni muhimu kama ilivo support yenu
[emoji843][emoji91]tegemea surprise na event nyingi msimu wa 2017/2018
[emoji843]naomba mnisaidie kushare ujumbe huu kwa wote
Inapatikana
[emoji117] chelseafc.tanzania
[emoji117] Instagram
[emoji778] welcome all [emoji778]
 
Craap
 
Mimi nasubiria Conte aje kupaki basi EPL, ila akija na formation yake ya 3-5-2 ataumbuka mapema sana.
Kuna mabadiriko yoyote kwenye hii hoja yako ya mwaka 2016, au bado unabaki na msimamo wako uleule?
 
Unabii ni lazima utimie , ila unaweza kuchelewa tu, nani alijua kama Ranieri angetimuliwa vile ?
Utatimia mwaka gani?, mi nilijua mwisho wa msimu wa 2016-2017 ndio atatumuliwa, kumbe bado
 
Unayakumbuka ya Ranieri Leicester city ?

Sasa huo sio utabiri tena, Mou alichukua kombe na next season akaondoka, Di Mateo alichukua UEFA na next season akaondoka, Anchellot alichukua kombe na next season akaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…