Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Siku hazigandi jamaa ashasahau kwamba aliandika utumbo wake hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio ukweli wenyewe , hakuna kocha aliyejenga heshima yake akiwa chelsea kama jose morinyo , lakini kila mwenye macho ameona jinsi alivyotupiwa vilago vyake kwenye mfuko wa rambo ,
Abramovic ambaye ndiye mmiliki wa chelsea hajui lolote kuhusu soka , hana uvumilivu na ni mtu anayetaka mafanikio kwa kasi ya radi , haiwezekani !
katika jambo lolote analolifanya mtu ili afanikiwe anahitaji consistency , haijawahi kuwa rahisi kupata mafanikio , conte hatatwaa ubingwa na anaweza asiwemo kwenye top 4 kwa msimu wake wa kwanza na baada ya hapo atadhalilika kwa kutimuliwa .
Hii kitu kibongo bongo inaitwa ramli chonganishi!!Huu ndio ukweli wenyewe , hakuna kocha aliyejenga heshima yake akiwa chelsea kama jose morinyo , lakini kila mwenye macho ameona jinsi alivyotupiwa vilago vyake kwenye mfuko wa rambo ,
Abramovic ambaye ndiye mmiliki wa chelsea hajui lolote kuhusu soka , hana uvumilivu na ni mtu anayetaka mafanikio kwa kasi ya radi , haiwezekani !
katika jambo lolote analolifanya mtu ili afanikiwe anahitaji consistency , haijawahi kuwa rahisi kupata mafanikio , conte hatatwaa ubingwa na anaweza asiwemo kwenye top 4 kwa msimu wake wa kwanza na baada ya hapo atadhalilika kwa kutimuliwa .
Unayakumbuka ya Ranieri Leicester city ?Aliyeanzisha uzi kala matapishi yake, sio big 4 tu bali ni ubingwa
HIjalishi mkuu, tukianza kufuata hoja hizi utakuwa ni ubishi zaidi.Unayakumbuka ya Ranieri Leicester city ?
Tumeshamzoea.Siku nyingine kuwa makini unapo andaa upupu. Unaweza kukuwasha mwenyewe
CraapHuu ndio ukweli wenyewe , hakuna kocha aliyejenga heshima yake akiwa chelsea kama jose morinyo , lakini kila mwenye macho ameona jinsi alivyotupiwa vilago vyake kwenye mfuko wa rambo ,
Abramovic ambaye ndiye mmiliki wa chelsea hajui lolote kuhusu soka , hana uvumilivu na ni mtu anayetaka mafanikio kwa kasi ya radi , haiwezekani !
katika jambo lolote analolifanya mtu ili afanikiwe anahitaji consistency , haijawahi kuwa rahisi kupata mafanikio , conte hatatwaa ubingwa na anaweza asiwemo kwenye top 4 kwa msimu wake wa kwanza na baada ya hapo atadhalilika kwa kutimuliwa .
Kuna mabadiriko yoyote kwenye hii hoja yako ya mwaka 2016, au bado unabaki na msimamo wako uleule?Mimi nasubiria Conte aje kupaki basi EPL, ila akija na formation yake ya 3-5-2 ataumbuka mapema sana.
Utatimia mwaka gani?, mi nilijua mwisho wa msimu wa 2016-2017 ndio atatumuliwa, kumbe badoUnabii ni lazima utimie , ila unaweza kuchelewa tu, nani alijua kama Ranieri angetimuliwa vile ?
Unayakumbuka ya Ranieri Leicester city ?