Antonio Conte Ligi ya Uingereza ni Tofauti na Ile ya Italia Baba.

Antonio Conte Ligi ya Uingereza ni Tofauti na Ile ya Italia Baba.

Unamjua bingwa wa EPL? Tuanze hapo kwanza....!
 
Inaelekea unafata mkmbo tu wala hujui chochote kuhusu Soka la England
1: Conte hajamuuza Mtic, fatilia utajua
2: Conte sio mgeni wa EPL, msimu uliopita alianza kwa kushinda kisha akapoteza mechi tatu ya Arsenal na Liver na mwisho wa league Conte akanyanyua kombe

So kwa Chelsea kuanza hivi wala sio shida
sawa sawa mchambuzi makini wa Epl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5fffe55b9138de58acc257ce88e513b8.jpg
Haha ha ha ha ha ha
 
Nianze kwa Kumshukuru Baba Conte kwa kutuuzia chombo kikiwa kimesoma mita chache Matic asante kwa mzima Mitambo huyu.

Nasaha zangu kwa Conte game ya kwanza tayari Chali Halafu ijayo na Totenham muulize rafiki yetu Claudio Ranieli na Mfumo wake wa pasi 3 mpaka anabeba ndoo leo yupo wapi,sikatai ligi bado mbichi ila kuwa makini baba.

Yule Mrusi hana utani hachelewi kukupiga chini na kuleta mwingine pale,

Uingereza huwezi chukua kombe mara 3 mfululizo kama Italia au Hispania labda kwa baadhi ya timu tena miaka hiyo,wakijua mbinu zako tu umekwisha baba utashangaa Brighton wanakua wabaya siku unakutana nao kuliko Mancity,bado sijamwamini Morata hata kidogo japo kaanza na kufunga ila huezi mlinganisha na Mtu Korofi Diego Costa.

Angalia baba Jipange kisawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi amna lolote,hata msimu uliopita baada ya kumsajili Pogba mkatangaza na ubingwa kabisa,lakini aibu ikawapata.
Msimu huu mmemsajili Matic basi mnaona mmemaliza.Subirini tu Conte atawashangaza tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom