Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata enzi za Moyes mliposhinda mechi tano mfululizo mlikuwa mnaimba the chosen one au mmesahau?Zibeni masikio aise maana ndo kwanza moto bado haujawashwa ndo kuni zinatayarishwa kwa ajili ya moto
What goes around always comes around
Hahaha hii ni another eraHata enzi za Moyes mliposhinda mechi tano mfululizo mlikuwa mnaimba the chosen one au mmesahau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Man Utd mnatabu sana, misimu miwili tu nyuma mlipoteana mpk wengine wakaacha kuangalia mechi saa hzi mmeanza tena kwa mechi moja tu, hii timu ndiyo maana ina maadui wengi sana, mnaongea sana
Man Utd mnatabu sana, misimu miwili tu nyuma mlipoteana mpk wengine wakaacha kuangalia mechi saa hzi mmeanza tena kwa mechi moja tu, hii timu ndiyo maana ina maadui wengi sana, mnaongea sana
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sawa mchambuzi makini wa EplInaelekea unafata mkmbo tu wala hujui chochote kuhusu Soka la England
1: Conte hajamuuza Mtic, fatilia utajua
2: Conte sio mgeni wa EPL, msimu uliopita alianza kwa kushinda kisha akapoteza mechi tatu ya Arsenal na Liver na mwisho wa league Conte akanyanyua kombe
So kwa Chelsea kuanza hivi wala sio shida
Sijaongelea ubingwa bulaza nimesema awe makini na hongera kwa kutupa Matic.hahahahaha..! manU mnawaza ubingwa kwa mechi moja? janga!
Kuanzia lini jana au leo?manU ni baiskeli ya barafu jua likiwaka hapo december hadi february inakuwa ishayeyuka.
ndo hapo conte anapotangaza ubingwa akiwa na game mkononi.
Nyinyi amna lolote,hata msimu uliopita baada ya kumsajili Pogba mkatangaza na ubingwa kabisa,lakini aibu ikawapata.Nianze kwa Kumshukuru Baba Conte kwa kutuuzia chombo kikiwa kimesoma mita chache Matic asante kwa mzima Mitambo huyu.
Nasaha zangu kwa Conte game ya kwanza tayari Chali Halafu ijayo na Totenham muulize rafiki yetu Claudio Ranieli na Mfumo wake wa pasi 3 mpaka anabeba ndoo leo yupo wapi,sikatai ligi bado mbichi ila kuwa makini baba.
Yule Mrusi hana utani hachelewi kukupiga chini na kuleta mwingine pale,
Uingereza huwezi chukua kombe mara 3 mfululizo kama Italia au Hispania labda kwa baadhi ya timu tena miaka hiyo,wakijua mbinu zako tu umekwisha baba utashangaa Brighton wanakua wabaya siku unakutana nao kuliko Mancity,bado sijamwamini Morata hata kidogo japo kaanza na kufunga ila huezi mlinganisha na Mtu Korofi Diego Costa.
Angalia baba Jipange kisawasawa.
Sent using Jamii Forums mobile app