Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Kwa sisi wageni inakuwaje kwani AJ ni mtanzania sio au wote na luiz ni watanzania naomba kujua maana mimi sio mfuatiliaji sana wa hizi mambo
 
mimi natamani AJ ashinde kwa asilimia 100%
Ili sisi machotara tuheshimike katika aridhi hii maana wadhungu wanatuona sisi vipanya buku hahahhahahaha ni mtazamo wangu tu kwahiyo dondosha na wewe maoni yako 😀😀😀😀😀😀

Tuone nani anapigika hadi uvunguni alaaaaaaa😂😂😂😂😂😉
 
hapo usindani ni mkubwa mi Napenda AJ ASHINDE KWA ASILIMIA 100%ILI SISI MACHOTARA TUHESHIMIKE KATIKA ARIDHI HII MAANA WADHUNGU WANATUONA SISI VIPANYA BUKU HAHAHHAHAHAHA NI MTAZAMO WANGU TU KWAHIYO DONDOSHA NA WEWE MAONI YAKO
Chibo kapewa dau la us17mill ila chotara analipwa us 85 million ambapo kwa Chibo awali alikua analipwa 7mill dollar sasa tusubili michapo ulingoni tu saa moja jion tukutane azam tv
 
AJ analambishwa SAKAFU tena #TIPWA_TIPWA_TETEMA.
 
Mh say moja jioni ya leo jumamosi?
 
Mimi nataka apigwe ili sisi wenye vitambi tuendelee kuwa na heshima huku mtaani,maana tumedharaulika sana.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kikubwa wepesi
 
Matokeo ya jana ya vipimo vya uzito yalionyesha Ruiz kuongezeka kwa zaidi ya kilo 5 kutoka pambano lililopita, huku AJ akipungua kwa kilo 5, je hii inaweza kuwa na advantage kwa AJ kupata ushindi?
 
Umeongea kama Ustadh Yaaani Abdallah ...aisee hivyo vi-terminology vya masumbwi nmekupa big up ....I salute .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…