Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates




Apigwe tu huyo muingereza mweusi... we are behind Ruiz bila kujali rangi yake
 
AZAM walisema wataonyesha km kuna mtu anajua channel atujuze
 
Nafikiria kitu kama hicho Maana pamoja na ubora alionao amedefend mkanda wake mare mane au tisa kujithibitisha ni bora angefuata mikanda kwa AJ
 
Fanbase inamatter maana ngumi ni biashara, Wilder anashindwa kujaza hata uwanja akiwa nyumbani kwake, AJ is a bigger brand though Wilder anatisha zaidi ulingoni
Till this day! hamuwezi AJ! I can bet
 
Wakuu nawaomba mwenye link ya hili pambano..wengine hatuna ving'amuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…