Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

NAtamani nimuone Joshua vs Wilder. Sioni chances za AJ kumpiga Wilder, jamaa limekaa kiuaji na linajua kutandika

Yupo bondia mmoja ni british prospect anaitwa Daniel "Dynamite" Dubois "Triple D"-- Huyo ni hatari sana, Mabondia heavy weight WOTE hapo watakaa, labda atawezana na Yule anayeitwa New MIKE TYSON wa kule Marekani kwa sababu wote ni vijana na future prospects.
 
AJ arudishe mikanda yake aisee, hii mikanda ikikaa kwa Ruiz akyanani Wilder ataichukua kiurahisi sana[emoji3][emoji3][emoji3]

Hiyo mikanda itarudi Uingereza kupitia Daniel "Dynamite" Dubois, the British heavy weight prospect, ambaye ni lazima amtwange Wielder, huyo Dogo anakuja vibaya ana miaka 20 hivi na akiwahi kumpiga Joshua KO katika Sparring.🤣
 
Watanzania nao watapanda ulingoni.
20191206_231053.jpeg
 
Hiyo mikanda itarudi Uingereza kupitia Daniel "Dynamite" Dubois, the British heavy weight prospect, ambaye ni lazima amtwange Wielder, huyo Dogo anakuja vibaya ana miaka 20 hivi na akiwahi kumpiga Joshua KO katika Sparring.[emoji1787]
DDD ni Hatari faya.
Atawakalisha wote.
 
Yupo bondia mmoja ni british prospect anaitwa Daniel "Dynamite" Dubois "Triple D"-- Huyo ni hatari sana, Mabondia heavy weight WOTE hapo watakaa, labda atawezana na Yule anayeitwa New MIKE TYSON wa kule Marekani kwa sababu wote ni vijana na future prospects.
DDD ni new version of AJ, tatizo ana papara. Akikutana na mtu mwenye timing nzuri mbona anakaa mapema, ni bondia mzuri ila apunguze papara maana kuna yule bondia Mghana anaitwa Richard Lartey nusura amkalishe. Pia kuna mnigeria anaitwa Efe Ajagba ni hatari sana huyo mtu, huyu DDD hamuwezi kabisa, ana power za kustaajabisha kama Wilder au zaidi
 
Hili pambano limekalia kama Andy Ruiz anashinda tena bila utata!
 
Moderator naomba ubadili hilo jina kwenye heading lisomeke 'Anthony' badala ya 'Antony'
 
DDD ni new version of AJ, tatizo ana papara. Akikutana na mtu mwenye timing nzuri mbona anakaa mapema, ni bondia mzuri ila apunguze papara maana kuna yule bondia Mghana anaitwa Richard Lartey nusura amkalishe. Pia kuna mnigeria anaitwa Efe Ajagba ni hatari sana huyo mtu, huyu DDD hamuwezi kabisa, ana power za kustaajabisha kama Wilder au zaidi

Efe Ajagba shida yake kubwa ni slowness, kweli power anayo. angalia matokeo yake ya mechi yake ya mwisho, alishinda kwa taabu sana kwa bondia ambaye sio maarufu kivile, DDD ni faster kuliko Ajagba.
 
Yule bondia aliyepigana naye ana ameatur background ya kuvutia n' ana Olympic medals, sio bondia mwepesi hata kidogo, halafu ana 'granite chin', je ile power DDD ataweza kuihandle? Hata boxrec wanamtambua kwamba jamaa sio wa kawaida, katika mapambano machache tu aliyoyacheza tayari ana ratings za juu, na wamempa no 24 kwa ubora, DDD wamempa no 27. Ni kweli ana slow hands but too powerful to handle, kama alivyokuwa George Foreman
 
Au unaweza kumlinganisha Ajagba na New mike Tyson??- Ajagba hafiki raundi ya pili.
 
Nashangaa kuko kimya. Sisi tuliopo Matombo huku tunategemea jukwaa hili kupata habari.
 
Jehehe we jma fala sana aisee
U have just made my night kwa hii kauli
Mimi nataka apigwe ili sisi wenye vitambi tuendelee kuwa na heshima huku mtaani,maana tumedharaulika sana.....
 
Anapigana sanabu mkataba wa awali unamfunga
Ni mkataba wa muhimu sana kwake, kujipa second chance, asingekuwa amesign mkataba Ruiz sahivi angekuwa anakula bata tu angechagua mabondia wepesi ili aendelee kuilinda mikanda kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom