Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi naye anapigwa za mbavu ambazo hazina point?Bado wanapigana mabusu tu
Ili Kumshinda Luiz ni Bora kumkimbia tuAJ anaharibu pambano.
Muda wote ni kukimbia
[emoji23]AJ angejiunga riadha
soon ataanza kuita igwe igwe badala ya refaVipi mnaijeria hajapasuka bado?
12Hivi mwisho round ni ngapi?
Au mpaka apasuke mmoja
12Hivi mwisho round ni ngapi?
Au mpaka apasuke mmoja
Huyu MWARABU mbona kama HANA MATAKO!?Huyu Luiz Mbishi sana aisee
[emoji23] hatariiiiii jamaa hanaga pumzi niliona pambano lake moja tuu na klishko nikalijua hilosoon ataanza kuita igwe igwe badala ya refa
Kweliii, igweeeeeeeLaana ya miungu ya abuja inakutafuna joshua
Thubutu Wilder atauaKwa hizi ngumi za Joshu ndio watu tunatamani akakutane ni Deontay Wilder ? Kweli?
ahahahaIli Kumshinda Luiz ni Bora kumkimbia tu