ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Nchi hii ili iendelee inahitaji viongozi radical kama Lissu, Magufuli (lkn aliye smart), Mwabukusi n.kmmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka. anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida. Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa miradi na kuunganisha watu wa makundi tofauti.
kwa mimi binafsi naona ni miongoni mwa watu ninaowaona wana sifa za kuwa "presidential material". Kama ataendelea kujenga rekodi nzuri ya utendaji na kupata uzoefu zaidi wa kitaifa, sioni ajabu kama mwaka 2030 au miaka inayofuata jina lake likaanza kutajwa katika mijadala ya urais.nimeangalia umri wake nikashangaa kumbe kazaliwa 1983 me nilikuwa namuona mkubwa sana nikajua kazaliwa labda 1973.vipi maoni yako anaweza akatuvusha huyu au misimamo ndo ileile ccm hata aje YESU hakuna maajabu itafanya?
Mtaka ni kama Nanauka tu.Ni mtu na nusu jamaa akili nyingi namkubali Rais Simba chawene mtaka waziri mkuu
First thing first: Wewe una uwezo na upeo wa ku-spot presidential material? Hili tatizo la ''kipofu'' mmoja kuibuka na kusema ''kipofu'' mwenzake anafaa kuwa rais nalo ni tatizo kubwa. Mkuu, siku-offend kwa namna yoyote hapa ila mimi nadhani tukiingia kwenye mtego wa kujadili mawazo hatari kama yako, nchi yetu itazidi kudidimia. What most needed kwa nchi yetu sasa hivi ni ku-fix kwanza mifumo na katiba yetu kabla hatujaingia kwenye mijadala kama hii. Kwa hali ya mfumo wa sasa, hata umpe Lissu urais, ataharibu.mmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka. anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida.
Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa miradi na kuunganisha watu wa makundi tofauti.
kwa mimi binafsi naona ni miongoni mwa watu ninaowaona wana sifa za kuwa "presidential material". Kama ataendelea kujenga rekodi nzuri ya utendaji na kupata uzoefu zaidi wa kitaifa, sioni ajabu kama mwaka 2030 au miaka inayofuata jina lake likaanza kutajwa katika mijadala ya urais.
Nimeangalia umri wake nikashangaa kumbe kazaliwa 1983 me nilikuwa namuona mkubwa sana nikajua kazaliwa labda 1973.vipi maoni yako anaweza akatuvusha huyu au misimamo ndo ileile ccm hata aje YESU hakuna maajabu itafanya?
Nanauka hamna kitu mtaka ni mtendaji mzuri Dodoma kawachia soko machingaMtaka ni kama Nanauka tu.
Angekuwa vizuri asingekuwa kwenye huu utawala wa wauaji. Kama kuna mtu yuko weye uongozi, na haoni shida ya Samia basi huyo mtu hafai.Yes yupo vizuri ila nadhani mfumo ndo unambeba zaidi .
Ukiwa RC au DC ni rahisi kuonekana unafanya kazi ila endapo akiwa Mbunge na waziri unaweza kuona picha tofauti au akiwa Rais .
Mkuu acha utani, yani mtu apewe urais kwa sababu ya soko machinga!Nanauka hamna kitu mtaka ni mtendaji mzuri Dodoma kawachia soko machinga
Ww matako kabisa mmegeuza urais km ugonimmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka. anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida.
Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa miradi na kuunganisha watu wa makundi tofauti.
kwa mimi binafsi naona ni miongoni mwa watu ninaowaona wana sifa za kuwa "presidential material". Kama ataendelea kujenga rekodi nzuri ya utendaji na kupata uzoefu zaidi wa kitaifa, sioni ajabu kama mwaka 2030 au miaka inayofuata jina lake likaanza kutajwa katika mijadala ya urais.
Nimeangalia umri wake nikashangaa kumbe kazaliwa 1983 me nilikuwa namuona mkubwa sana nikajua kazaliwa labda 1973.vipi maoni yako anaweza akatuvusha huyu au misimamo ndo ileile ccm hata aje YESU hakuna maajabu itafanya?
Gentleman,mmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka. anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida.
Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa miradi na kuunganisha watu wa makundi tofauti.
kwa mimi binafsi naona ni miongoni mwa watu ninaowaona wana sifa za kuwa "presidential material". Kama ataendelea kujenga rekodi nzuri ya utendaji na kupata uzoefu zaidi wa kitaifa, sioni ajabu kama mwaka 2030 au miaka inayofuata jina lake likaanza kutajwa katika mijadala ya urais.
Nimeangalia umri wake nikashangaa kumbe kazaliwa 1983 me nilikuwa namuona mkubwa sana nikajua kazaliwa labda 1973.vipi maoni yako anaweza akatuvusha huyu au misimamo ndo ileile ccm hata aje YESU hakuna maajabu itafanya?
Ni wapi nimesema apewe urais? Level ya mtaka uwaziri Mkuu ndo unamfaaMkuu acha utani, yani mtu apewe urais kwa sababu ya soko machinga!
Kwahiyo sativa ni presidential material simply kwakua sio sehemu ya utawala huu?Angekuwa vizuri asingekuwa kwenye huu utawala wa wauaji. Kama kuna mtu yuko weye uongozi, na haoni shida ya Samia basi huyo mtu hafai.