Antony Mtaka ni presidential material? Maoni yangu kuelekea 2030

Angekuwa vizuri asingekuwa kwenye huu utawala wa wauaji. Kama kuna mtu yuko weye uongozi, na haoni shida ya Samia basi huyo mtu hafai.
Exactly.
Yeyote ambaye anamtumikia shetani, hafai kwa chochote.

Kama upo unatumikia serikali hii uaji, basi wewe hufai kuwa kiongozi, maana kiuhalisia huna utu, huna ubinadamu, huna dhamira (kama unayo haikusuti), hujui jema wala baya, huna hofu ya Mungu, huna huruma, huna reasoning, huna maadili.

Kwa ufupi, kama upo ndani ya hii serikali ya kishetani, basi nawe ni shetani.
 
Usicho kijua CCM hai hitaji watu makini kabisa inahitaji watu wa hovyo hovyo kama waliopo sasa ili uhuni wao uendelee kutamalako
 
Aina ya mtoa mada ndiyo nyie mlimponza magufuli.
Na yeye bila kufikiria akaingia king badala ya kubadilisha mifumo ya nchi ikiwa ni pamoja na kuwa na mahakama huru, na bunge yeye akaanza kuwapiga wapinzani as if upinzani ndiyo chanzo cha umaskini hapa nchini.
Unamchagua Mtaka kule bungeni kuna wakina baba levo, simai, Bulaya etc hapo unafanyeje kazi
 
Kuna sauti ya mama wa bongo movie huko mtandaoni inasikika inasema “Una sura ya uwaziri kabisa mwanangu..”

Katika kampeni za Urais wa Kikwete, vijana wa Karatu walisema wanachagua Rais handsome. Nilikuwa mdogo ila nakumbuka hizi kauli.

Mimi nina msemo wangu kuwa baadhi ya Watz wanawapenda viongozi kimapenzi.

Hebu tufikie mahala kabla ya kujadili kuwa fulani anafaa kuwa Rais, tujadili alicho achieve katika nafasi zake mbalimbali alizoshika na positive impact aliyoacha kabla ya kutaka nafasi ya Urais.
 
He is a smart leader, lakini yuko kwenye chama ambacho kinahitaji mtu radical sana kukinyoosha!
 
Naunga mkono hoja!. Huyu ni mmoja wa viongozi wa serekali ambao ni visionary leaders, mimi mwenyewe namkubali sana!.

View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=gewIUoMZ8txxmjNE
View: https://youtu.be/sOv_cJSC9As?si=llUvmMFNzgBHJtO_
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=eY4YwkTx1KX0ST6p
View: https://youtu.be/Kn_XH7kIi1Q?si=XvIkH99mxXydTlfo
View: https://youtu.be/p8QiJFhfZEg?si=ez0vO5n4xfKWGEr9
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=M6dqtyqx-4TtuVgW
View: https://youtu.be/1rE6TTlr4nw?si=BiurNnMXFJTe1QnR
View: https://youtu.be/4iUboMvT_ig?si=hO89vx7EqcIrx0LO
View: https://youtu.be/HvtD33yWGEg?si=lpzewFU7B4kHX0Pi
Mimi nime mu endorse kwa asilimia 100% chini ya 100%, ila ukiwa na mtu wako mzuri kwa post hiyo, ili kumlinda inabidi usimtaje!, Mtaka tumuweke akiba for 2050, kwasababu rais wa 2030 tayari yupo namjua Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo! na wa 2040 pia tayari Live on TBC: Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu! hivyo Mtaka labda 2050
P
 
1983 nakataa mpaka milele
 
Kwa mifumo hii iliyopo hata aje malaika kutoka mbinguni ni kazi bure. Sana sana akijifanya mzalendo sana watoto wa mjini watapita naye asubuhi na mapema tu. Ngosha alifika wapi?

Tubadilisheni katiba kwanza. Ikidhi matakwa ya wananchi. Tupateni tume huru ya uchaguzi. Watu wawe huru kusema. Mafisadi wabanwe. Turudishe nchi kwa wananchi na siyo kikundi cha familia zisizozidi 10!

Vinginevyo hakuna kitakachobadilika hata tukienda kumuazima Traore kuja kutuongoza! Tusiangalie mtu. Tumakinikie sana mabadiliko ya kimfumo na kitaasisi!

 
britanicca
 
Huyu kiongozi ni miongoni mwa viongozi wachache wa CCM
1. Nchimbi
2. Mtaka
3. Makongoro (Umri)
4. Hussein Mwinyi
5. Ditto Biteko
6. Bashungwa
7. Mrembo Kataraihya
8. Prof Assad
9. Kaganda
10. Simbachawene

Hawa 10 wako vema sana
 
Huyu mkuu wa mkoa wa njombe au mwingine kwanza niulize?
 
Mtaka ni TAPELI tu.

Hajali hisia za watu.

Ni motivational speaker.
 
Huyo mtaka ni mpumbavu mmoja aliyejificha kwenye angle ya kupumbaza watu kuwa he is smart lakini ni hovyo sana!!. Huyo ni type ya kina makonda anajiona anajua na kuweza kuliko wengine.... Ni mpuuzi na hilo bichwa lake kma mabehewa ya mwendokasi
 
Urais wa Tanzania saiz kila mtanzania anaweza kuwa.... Km ktu na elimu za kuungaunga amekuwa Rais 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…