Usimfananishe Mtaka na motivation speakerMtaka ni kama Nanauka tu.
Mmmh 1983 ni kamba hiyo!Mmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida.
Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa miradi na kuunganisha watu wa makundi tofauti.
Kwa mimi binafsi naona ni miongoni mwa watu ninaowaona wana sifa za kuwa "presidential material". Kama ataendelea kujenga rekodi nzuri ya utendaji na kupata uzoefu zaidi wa kitaifa, sioni ajabu kama mwaka 2030 au miaka inayofuata jina lake likaanza kutajwa katika mijadala ya urais.
Nimeangalia umri wake nikashangaa kumbe kazaliwa 1983 me nilikuwa namuona mkubwa sana nikajua kazaliwa labda 1973.vipi maoni yako anaweza akatuvusha huyu au misimamo ndo ileile ccm hata aje YESU hakuna maajabu itafanya?
Na wewe inakubali huyo dingi ni wa 1983! Dingi yangu kabisa na Mimi tayari Nina 41 yrs! Ina maana alinizaa akiwa na 3 years?Naunga mkono hoja!. Huyu ni mmoja wa viongozi wa serekali ambao ni visionary leaders, mimi mwenyewe namkubali sana!.
View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=gewIUoMZ8txxmjNE
View: https://youtu.be/sOv_cJSC9As?si=llUvmMFNzgBHJtO_
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=eY4YwkTx1KX0ST6p
View: https://youtu.be/Kn_XH7kIi1Q?si=XvIkH99mxXydTlfo
View: https://youtu.be/p8QiJFhfZEg?si=ez0vO5n4xfKWGEr9
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=M6dqtyqx-4TtuVgW
View: https://youtu.be/1rE6TTlr4nw?si=BiurNnMXFJTe1QnR
View: https://youtu.be/4iUboMvT_ig?si=hO89vx7EqcIrx0LO
View: https://youtu.be/HvtD33yWGEg?si=lpzewFU7B4kHX0Pi
Mimi nime mu endorse kwa asilimia 100% chini ya 100%, ila ukiwa na mtu wako mzuri kwa post hiyo, ili kumlinda inabidi usimtaje!, Mtaka tumuweke akiba for 2050, kwasababu rais wa 2030 tayari yupo namjua Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo! na wa 2040 pia tayari Live on TBC: Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu! hivyo Mtaka labda 2050
P
Mkuu wa mkoa wa Njombe kaka mkubwa.Anthony.Mtaka ni nani?
Kama RC na DC hubebwa na mfumo vipi kwa Rais na Waziri wao huwa wanaachwa na mfumo wajibebe wenyewe kila mtu kivyake vyake ???! 😳 !Yes yupo vizuri ila nadhani mfumo ndo unambeba zaidi .
Ukiwa RC au DC ni rahisi kuonekana unafanya kazi ila endapo akiwa Mbunge na waziri unaweza kuona picha tofauti au akiwa Rais .
Hata alipokuwa Simiyu it was the same na kila alipohamishiwa ni vivyo hivyo ali-shine !Mkoa anaouongoza unambeba na Sio kitu kingine!
Mkoa ambazo wananchi wake wana Kila kitu utashindwaje kuongoza?
Njombe na Simiyu ni sawa!! Hii ni mikoa haina changamoto nyingi kiutendaji,yaani haina Mambo mengi!!Hata alipokuwa Simiyu it was the same na kila alipohamishiwa ni vivyo hivyo ali-shine !
Yupo vizuri !
Labda huwa anahamishwa kwa sababu ya kwenda kuzitatua Changamoto zilizoshindikana kwenye mikoa husika !Njombe na Simiyu ni sawa!! Hii ni mikoa haina changamoto nyingi kiutendaji,yaani haina Mambo mengi!!
Huyu ukimpeleka mikoa ambayo complicated ataacha kujirecord na kutuma viclip mitandaoni!!
After all!! Kama ni mzuri ,Nini kilimtoa Dodoma?
Unakumbuka hili swali niliuliza nadhani hapa JF.Mkuu wa mkoa wa Njombe kaka mkubwa.
Unataka kusemaje kaka mkubwa umetuacha njia panda? Unaona anafaa ? Ama kinyume chake kaka mkubwa mwaga nondo.Unakumbuka hili swali niliuliza nadhani hapa JF.
Magufuli alikuwa Waziri wa nini sijui,bila shaka waziri wa uvuvi kwa sababu yale mambo yalikuwa yanahusu samaki
Wachina walikamatwa huko baharini wanavua samaki,kesi ikapelekwa mahakamani wale samaki wakawekwa in cold storage kama ushahidi,wamewekwa in cold storage mwaka sijui,au zaidi,wakati kesi inaendelea.
Nikauliza Ile bili ya kuwahifadhi ( samaki) inalipwa na nini?
Huyu jamaa( Magufuli) ni presidential material ( kweli)?
Wale vijana walikuwa wanahojiwa ITV siku iie.Unataka kusemaje kaka mkubwa umetuacha njia panda? Unaona anafaa ? Ama kinyume chake kaka mkubwa mwaga nondo.
Tatizo sio mtuMmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida.
Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa miradi na kuunganisha watu wa makundi tofauti.
Kwa mimi binafsi naona ni miongoni mwa watu ninaowaona wana sifa za kuwa "presidential material". Kama ataendelea kujenga rekodi nzuri ya utendaji na kupata uzoefu zaidi wa kitaifa, sioni ajabu kama mwaka 2030 au miaka inayofuata jina lake likaanza kutajwa katika mijadala ya urais.
Nimeangalia umri wake nikashangaa kumbe kazaliwa 1983 me nilikuwa namuona mkubwa sana nikajua kazaliwa labda 1973.vipi maoni yako anaweza akatuvusha huyu au misimamo ndo ileile ccm hata aje YESU hakuna maajabu itafanya?