Picha tafadhali.Kusema ukweli huyu mtangazaji wa kipindi cha tatu mzuka huyu bint ni mzuri sana . Nasema bint maana mara nyingi namsikia akijitangaza kwa baadhi ya washiriki wanaoingia kwenye droo ya kubahatisha ushindi wa kupokea hela kuwa hajaolewa.lakini kwa mtizamo kwa kweli anafaa sana kuwa mke ila kinachonishangaza ni lile hipsi lake hivi ni la kweli au anajaladia maana ukimtizama kiuno kipo,kifua kipo guu lipo rangi ipo ila mbona lile hipsi lake haliendani na ile miguu?
Ukiangalia ule upaja unaona kabisa kama kuna wimbi la uvimbe kabisa ..
Nimewasilisa.
Hahaha hizo walakini ulizoona wewe ndizo nasisi tuliona, na ndio maana hajaolewa. Kama vipi ampunguzie Jide.
Weka picha yake tumalize utata,uzi kama huu bila picha,unataka tu`comment nini ndugu?
Umesahau moja.. yupo NATURAL sana..Yes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.
Hapo sawa.tutakwenda sawa safiYes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.
Duuuuh kuna watu wanakojoa seheu nzuri kwel.Yes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.