Antu Mandoza mtangazaji wa tatu mzuka ni moja ya Wasichana wazuri sana

Antu Mandoza mtangazaji wa tatu mzuka ni moja ya Wasichana wazuri sana

Yes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.

49701221_133934314220967_5231781526692410312_n.jpg
Shida anatangaza kamari tena yenye kiwango cha juu zaidi cha utapeli hapo ndipo sifa zote za wife material zinapoyeyukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kama kuna mtu anamfahamu vizuri na ameishi nae kwenye mtaa mmoja tangu anakuwa,
Au awe amesoma nae kwa miaka kadhaaa
Vinginevyo tabia ya mtu unaweza usiijue!
Wanaume wengi huwa wanakuja kuoa mwanamke kwa kigezo cha ukimya kumbe ukimya siyo kwamba mwanamke atakuwa mwadilifu au wife material!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine wakimya lakini wanamaishu!
Wengine majamvi ya wageni!
Ukimya peke yake siyo kigezo cha kuwa mke mwema!
Uzoefu unaonesha hata majambazi wengi ni wakimya sana!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom