Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana kuwa Odometer yake inasoma km 0, yaani haijaguswaaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
stendi ipi? maanaKusema ukweli huyu mtangazaji wa kipindi cha tatu mzuka huyu bint ni mzuri sana .
Nasema bint maana mara nyingi namsikia akijitangaza kwa baadhi ya washiriki wanaoingia kwenye droo ya kubahatisha ushindi wa kupokea hela kuwa hajaolewa.
Lakini kwa mtizamo kwa kweli anafaa sana kuwa mke ila kinachonishangaza ni lile hipsi lake hivi ni la kweli au anajaladia maana ukimtizama kiuno kipo, kifua kipo guu lipo rangi ipo ila mbona lile hipsi lake haliendani na ile miguu?
Ukiangalia ule upaja unaona kabisa kama kuna wimbi la uvimbe kabisa ..
Nimewasilisa.
Ha ha ha, ladha ni ile ile tuu mkuu, by the way hyo ni makeup tu hamna kitu hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.
![]()
kwamtindo huu hii kamari kuimaliza itakuwa ngumu sana,yaani janaume zima tatu mzuka ulichokiona wewe sio mamilioni ya washiriki isipokuwa ni iyo fahari ya macho
Hahahaha mkuu BAK niajeYes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.
![]()
Huyu mtoto mzuri sana.Anafaa.Yes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.
![]()
Hahahaha mkuu BAK niaje
Huo ndo uanaume original kabisakwamtindo huu hii kamari kuimaliza itakuwa ngumu sana,yaani janaume zima tatu mzuka ulichokiona wewe sio mamilioni ya washiriki isipokuwa ni iyo fahari ya macho
Kusema ukweli huyu mtangazaji wa kipindi cha tatu mzuka huyu bint ni mzuri sana .