Antu Mandoza mtangazaji wa tatu mzuka ni moja ya Wasichana wazuri sana

stendi ipi? maana
 
kwamtindo huu hii kamari kuimaliza itakuwa ngumu sana,yaani janaume zima tatu mzuka ulichokiona wewe sio mamilioni ya washiriki isipokuwa ni iyo fahari ya macho
 
Wizi mtupu wee jiulize hela wanapata wapi kama sio za hao wanaoliwa kama ninyi mnaocheza
kwamtindo huu hii kamari kuimaliza itakuwa ngumu sana,yaani janaume zima tatu mzuka ulichokiona wewe sio mamilioni ya washiriki isipokuwa ni iyo fahari ya macho
 
kwamtindo huu hii kamari kuimaliza itakuwa ngumu sana,yaani janaume zima tatu mzuka ulichokiona wewe sio mamilioni ya washiriki isipokuwa ni iyo fahari ya macho
Huo ndo uanaume original kabisa

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Ongezeni picha jamani hiyo moja haitoshi kabisa.

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Sasa angalia hiyo ya juu kashika kiuno alafu ilinganishe na hii ya chini kwenye ukumbi wa mazoezi alafu mniambie kama ziko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…