Antu Mandoza mtangazaji wa tatu mzuka ni moja ya Wasichana wazuri sana

Labda kama kuna mtu anamfahamu vizuri na ameishi nae kwenye mtaa mmoja tangu anakuwa,
Au awe amesoma nae kwa miaka kadhaaa
Vinginevyo tabia ya mtu unaweza usiijue!
Wanaume wengi huwa wanakuja kuoa mwanamke kwa kigezo cha ukimya kumbe ukimya siyo kwamba mwanamke atakuwa mwadilifu au wife material!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine wakimya lakini wanamaishu!
Wengine majamvi ya wageni!
Ukimya peke yake siyo kigezo cha kuwa mke mwema!
Uzoefu unaonesha hata majambazi wengi ni wakimya sana!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…