Mkuu lugha ni muhimu sana...Lugha kutofautia sio ishu kutokana na umbali wa kijiografia....
Mm nimemuuliza hawa ndg zetu wahindi,waarabu na sisi wa africa chanzo chetu n kipi? Hajanijibu
Tatizo lake anataka kukaririsha watu vitu alivyomeza maswali ya msingi hajibu numempuuza.
Ok m nimejibu kea kumaanisha jamii moja ikikaa sehemu moja kwa muda mrefu watazaliana ivyo ivyo resources zilizopo apo azitawatosheleza hivyo wataamia maeneo mengine...sasa ule umbali n lazima watatofautiana katika kuzungumza maana vizazi na vizazi vitapita.Mkuu lugha ni muhimu sana...
Mfano tu katika jamii yenu mpo mnaongea lugha moja tu na wala hamjui kama kuna watu tofauti na nyinyi...Ghafla kunayokea mtu anaongea lugha tufauti kwa ni lazima mtajua kumbe sisi hatupo peke yetu hapa kuna wenzetu na lazima yupo MUUMBAJI wa aliyetuumba...
Mungu anaweza bana na yule mnyama wa kupoteza wanadamu kashafika
Hapa ndio tunasema uwepo wake upo Mungu mmojaOk m nimejibu kea kumaanisha jamii moja ikikaa sehemu moja kwa muda mrefu watazaliana ivyo ivyo resources zilizopo apo azitawatosheleza hivyo wataamia maeneo mengine...sasa ule umbali n lazima watatofautiana katika kuzungumza maana vizazi na vizazi vitapita.
Na kuhusu hiyo dhana yako kwamba wakija jamii nyingine na lugha yao inaleta mkanganyiko kwa mtizamo wangu sio ishu...maana tupo kwenye chombo kimoja chenye ukubwa sanaa.
Shida inakuja pale huyu machina,mjapani,mhindi n.k wote tuko kwenye kapu moja ila hatufanani rangi?
Hapa ndipo nilifikiri mwenye uzi atakuja na majibu ila hana hivyo tunabaki kuamini katika Mungu.Hapa ndio tunasema uwepo wake upo Mungu mmoja
Wote ni zao la maabara mjombaLugha kutofautia sio ishu kutokana na umbali wa kijiografia....
Mm nimemuuliza hawa ndg zetu wahindi,waarabu na sisi wa africa chanzo chetu n kipi? Hajanijibu
Tatizo lake anataka kukaririsha watu vitu alivyomeza maswali ya msingi hajibu numempuuza.
Mkuu according to Sumerian tablets Nibiru huzunguka nyota yetu jua ikiwa kwenye mhimiri wake Kila baada ya miaka 3,600 Kisha hutoweka taratibu,michoro ya kale ilionesha ikiuweka Mwezi wetu katikati yake na Dunia na imerekodiwa Katika accient tablets Toka kaleOky kwahiyo hiyo sayari yao iko umbali gani kutoka sayari ya dunia?
Na kwa tecknolojia tulizonazo sasa hatuwezi kwenda huko kwao?
Naomba maelezo na mm nitambue...Wote ni zao la maabara mjomba
kwahiyo Sumeria tablets ni movie au sio?Unaweza kuta Hao Annunaki Ni malaika ambao Mungu aliwashusha duniani kuja kumfundisha binadamu ujuzi na maarifa.
Baada ya kuona binadamu ameshaelewa masomo mbalimbali na ana uwezo wa kujitegemea wakarudi kwa Mungu.
Hayo maspaceship unayoongelea utakuwa umeangalia kwenye movie mzee
Tunwz achieve immortality hapa kwa utafiti zaidikwahiyo Sumeria tablets ni movie au sio?
Yaani tablets zilizosaidia ukuaji wa science and technology Katika Dunia ya Leo ni movie,
Kwamba Nikola Tesla alitumia movie kugundua Umeme wa AC baada ya kufanya Hisabati na Phyzikia akitumia formula za Pyramids za Giza ambazo ni plasma generator za kale?
Mkuu wewe unaamini hizo historia ni za kweli si ndio?? Basi naomba ufafanuzi juu ya haya.Hizo za ukifa unaenda maisha ya eternal ni fiction tu walizolaghaiwa watu wa kale na hao watchers kiufupi hakuna kitu kama hicho mtu ukifa unakua decay unatoweka kabisa udongoni yaani unakua deadly infinity,
Hizo dhana zilianzishwa na ENLIL wakati ANNUNAK wanaondoka duniani na kurudi kwao waliwaambvyo maana walijua wanaondoka duniani na hawatarudi Ili kuwafariji wakawapa porojo za life after death Kumbuka
Annunak walicotrol man kind na walikua na akili sana walitunga sheria walizoziita dini Ili iwe faraja Kwa watu watakaowaacha huko wakiwaahidi ipo Siku watarudi na kuwachukua waende wakaishi nao juu mbinguni
(Nephilim 12th planet ) kwenye Raha za milele na anakoishi Mungu Mkuu ambaye ndie baba wa waanak yaani ANU
Kiufupi Ile ilikua danganya toto tu ukisoma maandiko ya Sumeria yanadai race ya binadamu ilikataliwa na jamii ya wanibiru kwamba haitakiwi huko kwao sababu lengo ilikua ni kuwatumia kama vijakazi wa kuwachimbia dhahabu tu mwisho wanatoweshwa ila kutokana na kuishi nao Kwa Upendo Kwa miaka mingi baadhi ya watchers waona waache tu wasurvive wakitumainia ipo siku watarudi kuwakomboa kwenye shida zao!
Kwahiyo jombi zile story zenu za Malaika kuonekana zamani na kuishi duniani kwenye dini zenu unajua kwanini Leo hawaji Tena Kwa maelfu ya miaka?
Mlilaghaiwa Aiseee poleni Sana waamini!
Binadamu ni kiumbe mbishi Sana yaani Ili uamini habari za Annunak ilikupasa tutumie Lugha zao hahahaha. Hivi unajua accient Sumerian walikua na chart Yenye alfabet 600? Ukiachana na hizi 26 za kwetu?Basi pia lugha ingekuwa ni moja tu iliyotokana na hao majamaa mana binadamu sindio walikuwa wanawafata....
Aache kutulisha matango poli huyu mkuu.
Kwahiyo hata kama ukweli tunao sisi Wafia dini, tukae tutulie ?Note wafia Dini hamuhitajiki humu kama kitu hujui kaa kwa kutulia upate Somo na rejea mbali mbali,
Annunaki mara Yao ya mwisho ni miaka 450 BCE waliondokea kule Mesoamerica baada ya kuibeba dhahabu ya wahindu wekundu,Wamaya, Waaztec, waperu nkKwahiyo kama dunia tuwe na mission ya miaka 3,600 tuisubirie hiyo sayari ikiingia tuu kwenye mzunguko wa jua, tunatuma vyombo huko vilivyobeba wanajeshi tunaenda kuivamia.
Lakini tangu waondoe duniani kama unavyosema si zaidi ya miaka milioni ina maana sayari yao imeingia kwenye mfumo wa jua mara kibao, labda tulikuwa hatujadevelop kitechnolojia
Sijajua imebaki miaka mingapi mbele ikamilike 3600 ila kizazi chetu huko mbele naamini watapanga mission ya kuisubiria na kuivamia hiyo sayari kama kweli ipo.
Idadi hii ya miaka waliijuaje ? Au mmeijuaje ?Maandiko ya kale ya Wasumeria katika Mesopotamia yamewataja viumbe Anunak walipata Kuja duniani Miaka 450,000 BCE iliyopita,
haaahaaa sijui mnataka marejeo Gani nyie watu yaani wewe sites zote ambazo walijenga kama Pyramids za Giza, Mesoamerica, Canary islands, Indonesia,china na underground bases nyingi Sana Kila siku zinakua documented Bado huaminiKwahiyo hata kama ukweli tunao sisi Wafia dini, tukae tutulie ?
Shida yenu hoja zenu hazina marejeo ya uhakika.
hiyo tunatumia carbon 14 kupima mabaki ya Kazi Yao au na tunakadiria Miaka kwani hujui Hilo Ankori?Idadi hii ya miaka waliijuaje ? Au mmeijuaje ?
unatia huruma Sana yaani unaogopa kulishwa matango pori na Mimi huko kuhusu Annunaki huko ukitumia devices zinazotumia teknolojia walioasisi wao huoni ni kituko Cha Karne?Basi pia lugha ingekuwa ni moja tu iliyotokana na hao majamaa mana binadamu sindio walikuwa wanawafata....
Aache kutulisha matango poli huyu mkuu.