ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Lugha kutofautia sio ishu kutokana na umbali wa kijiografia....
Mm nimemuuliza hawa ndg zetu wahindi,waarabu na sisi wa africa chanzo chetu n kipi? Hajanijibu
Tatizo lake anataka kukaririsha watu vitu alivyomeza maswali ya msingi hajibu numempuuza.
Mkuu lugha ni muhimu sana...

Mfano tu katika jamii yenu mpo mnaongea lugha moja tu na wala hamjui kama kuna watu tofauti na nyinyi...Ghafla kunayokea mtu anaongea lugha tufauti kwa ni lazima mtajua kumbe sisi hatupo peke yetu hapa kuna wenzetu na lazima yupo MUUMBAJI wa aliyetuumba...

Mungu anaweza bana na yule mnyama wa kupoteza wanadamu kashafika
 
Mkuu lugha ni muhimu sana...

Mfano tu katika jamii yenu mpo mnaongea lugha moja tu na wala hamjui kama kuna watu tofauti na nyinyi...Ghafla kunayokea mtu anaongea lugha tufauti kwa ni lazima mtajua kumbe sisi hatupo peke yetu hapa kuna wenzetu na lazima yupo MUUMBAJI wa aliyetuumba...

Mungu anaweza bana na yule mnyama wa kupoteza wanadamu kashafika
Ok m nimejibu kea kumaanisha jamii moja ikikaa sehemu moja kwa muda mrefu watazaliana ivyo ivyo resources zilizopo apo azitawatosheleza hivyo wataamia maeneo mengine...sasa ule umbali n lazima watatofautiana katika kuzungumza maana vizazi na vizazi vitapita.

Na kuhusu hiyo dhana yako kwamba wakija jamii nyingine na lugha yao inaleta mkanganyiko kwa mtizamo wangu sio ishu...maana tupo kwenye chombo kimoja chenye ukubwa sanaa.
Shida inakuja pale huyu machina,mjapani,mhindi n.k wote tuko kwenye kapu moja ila hatufanani rangi?
 
Ok m nimejibu kea kumaanisha jamii moja ikikaa sehemu moja kwa muda mrefu watazaliana ivyo ivyo resources zilizopo apo azitawatosheleza hivyo wataamia maeneo mengine...sasa ule umbali n lazima watatofautiana katika kuzungumza maana vizazi na vizazi vitapita.
Na kuhusu hiyo dhana yako kwamba wakija jamii nyingine na lugha yao inaleta mkanganyiko kwa mtizamo wangu sio ishu...maana tupo kwenye chombo kimoja chenye ukubwa sanaa.
Shida inakuja pale huyu machina,mjapani,mhindi n.k wote tuko kwenye kapu moja ila hatufanani rangi?
Hapa ndio tunasema uwepo wake upo Mungu mmoja
 
Oky kwahiyo hiyo sayari yao iko umbali gani kutoka sayari ya dunia?

Na kwa tecknolojia tulizonazo sasa hatuwezi kwenda huko kwao?
Mkuu according to Sumerian tablets Nibiru huzunguka nyota yetu jua ikiwa kwenye mhimiri wake Kila baada ya miaka 3,600 Kisha hutoweka taratibu,michoro ya kale ilionesha ikiuweka Mwezi wetu katikati yake na Dunia na imerekodiwa Katika accient tablets Toka kale
Ikiwa na ukubwa mara tatu ya Dunia yetu!
 
Unaweza kuta Hao Annunaki Ni malaika ambao Mungu aliwashusha duniani kuja kumfundisha binadamu ujuzi na maarifa.

Baada ya kuona binadamu ameshaelewa masomo mbalimbali na ana uwezo wa kujitegemea wakarudi kwa Mungu.

Hayo maspaceship unayoongelea utakuwa umeangalia kwenye movie mzee
kwahiyo Sumeria tablets ni movie au sio?
Yaani tablets zilizosaidia ukuaji wa science and technology Katika Dunia ya Leo ni movie,
Kwamba Nikola Tesla alitumia movie kugundua Umeme wa AC baada ya kufanya Hisabati na Phyzikia akitumia formula za Pyramids za Giza ambazo ni plasma generator za kale?
 
kwahiyo Sumeria tablets ni movie au sio?
Yaani tablets zilizosaidia ukuaji wa science and technology Katika Dunia ya Leo ni movie,
Kwamba Nikola Tesla alitumia movie kugundua Umeme wa AC baada ya kufanya Hisabati na Phyzikia akitumia formula za Pyramids za Giza ambazo ni plasma generator za kale?
Tunwz achieve immortality hapa kwa utafiti zaidi
 
Hizo za ukifa unaenda maisha ya eternal ni fiction tu walizolaghaiwa watu wa kale na hao watchers kiufupi hakuna kitu kama hicho mtu ukifa unakua decay unatoweka kabisa udongoni yaani unakua deadly infinity,
Hizo dhana zilianzishwa na ENLIL wakati ANNUNAK wanaondoka duniani na kurudi kwao waliwaambvyo maana walijua wanaondoka duniani na hawatarudi Ili kuwafariji wakawapa porojo za life after death Kumbuka
Annunak walicotrol man kind na walikua na akili sana walitunga sheria walizoziita dini Ili iwe faraja Kwa watu watakaowaacha huko wakiwaahidi ipo Siku watarudi na kuwachukua waende wakaishi nao juu mbinguni
(Nephilim 12th planet ) kwenye Raha za milele na anakoishi Mungu Mkuu ambaye ndie baba wa waanak yaani ANU
Kiufupi Ile ilikua danganya toto tu ukisoma maandiko ya Sumeria yanadai race ya binadamu ilikataliwa na jamii ya wanibiru kwamba haitakiwi huko kwao sababu lengo ilikua ni kuwatumia kama vijakazi wa kuwachimbia dhahabu tu mwisho wanatoweshwa ila kutokana na kuishi nao Kwa Upendo Kwa miaka mingi baadhi ya watchers waona waache tu wasurvive wakitumainia ipo siku watarudi kuwakomboa kwenye shida zao!

Kwahiyo jombi zile story zenu za Malaika kuonekana zamani na kuishi duniani kwenye dini zenu unajua kwanini Leo hawaji Tena Kwa maelfu ya miaka?

Mlilaghaiwa Aiseee poleni Sana waamini!
Mkuu wewe unaamini hizo historia ni za kweli si ndio?? Basi naomba ufafanuzi juu ya haya.

--Sasa ni kipi kinakufanya/ kiliwafanya hao waloyatunza hayo maandishi wasiamini kua hao annunaki watarudi tena na kua ile ile ilikua danganya toto tu!? Ilhali ni wao wenyewe waliwaambia watarudi??

--Ni kipi kiliwafanya waamini hata wewe uamini kua huko kwa mkuu wao kuna kiti cha enzi kilichopambwa au kunakshiwa kwa dhahabu na hao wazee na hizo blah blah lakini usiamini kurudi kwao??

Kama walidanganya kuhusu kurudi kwao walishindwa vipi kudanganya kuhusu huko kwao ambako pia watu wa kale hawakuwahi kufika??

--Na hizi habari za vita huko kwao na hayo maandishi ni nani walikua wanayaandika!? Je ni watu au ni annunaki??
Kuna uthibitishi wowote wa kujua huu mwandiko/mchoro ni wa nani??

--Umesema pia civilization iliisha pale hao viombe waliposepa, je hao watu walioachwa hawakuambulia chochote kabisa ilhali waliumbwa kwa mfano wao?? Umetaja pyramids na hayo machimbo na yote umesema yalijengwa kwa msaada mkubwa wa annunaki, so hawa watu wao baada ya kuondoka kwa hao viumbe walikua na maisha gani??

--Na je hicho kizazi cha hao watu wa kale enzi za annunaki ndicho hiki chetu kilichopo mpaka leo??

-- Mkuu unaamini kua kuna wachai, majini, vibwengo, mapepo vinyamkera na jamii kama hizo kama ndiyo ni nini chanzo cha hivyo viumbe??

Na je ni nani haswa waanzilishi wa hizi dini, ni taifa au jamii gani iliyoanza kusambaza habari za dini tulizonazo sasa hadi kuzika hizo habari za annunaki.??
 
Basi pia lugha ingekuwa ni moja tu iliyotokana na hao majamaa mana binadamu sindio walikuwa wanawafata....

Aache kutulisha matango poli huyu mkuu.
Binadamu ni kiumbe mbishi Sana yaani Ili uamini habari za Annunak ilikupasa tutumie Lugha zao hahahaha. Hivi unajua accient Sumerian walikua na chart Yenye alfabet 600? Ukiachana na hizi 26 za kwetu?

Yaani wewe kujua ABC mapka Z unajiona mjanja Kwa taarifa Yako jamii za kale ziliongea Mpaka Lugha ya Hesabu yaani Kwa kutumia namba Lugha ilitengenezwa
Hao ndio accient civilization wanaoushangaza ulimwengu wa kisasa
Leo ukienda Museums za ulaya wamehifadhi Hizo Lugha na zinawashinda kutafsiri endapo wakiweza Hii Dunia haitakua kama uionavyo kamanda usidhani maendeleo uyaonayo yamekuja Kwa bahati Mbaya Leo upo na ki smartphone Cha Tecno hujui hata aliyegundua alipata Wapi formula Endelea kukariri.

Mimi nakupeeni elimu tu nyie Waafrika mlio nyuma Kwa Kila kitu Hadi Leo mtu hajui mwanzo wao Huku mkikaria nadharia za Kuumbwa na Mungu hata huyo Mungu hammjui Hivi mna akili nyie
Inasikitisha sana!
😁😁😁😁
 
Kwahiyo kama dunia tuwe na mission ya miaka 3,600 tuisubirie hiyo sayari ikiingia tuu kwenye mzunguko wa jua, tunatuma vyombo huko vilivyobeba wanajeshi tunaenda kuivamia.

Lakini tangu waondoe duniani kama unavyosema si zaidi ya miaka milioni ina maana sayari yao imeingia kwenye mfumo wa jua mara kibao, labda tulikuwa hatujadevelop kitechnolojia

Sijajua imebaki miaka mingapi mbele ikamilike 3600 ila kizazi chetu huko mbele naamini watapanga mission ya kuisubiria na kuivamia hiyo sayari kama kweli ipo.
Annunaki mara Yao ya mwisho ni miaka 450 BCE waliondokea kule Mesoamerica baada ya kuibeba dhahabu ya wahindu wekundu,Wamaya, Waaztec, waperu nk
 
Kwahiyo hata kama ukweli tunao sisi Wafia dini, tukae tutulie ?

Shida yenu hoja zenu hazina marejeo ya uhakika.
haaahaaa sijui mnataka marejeo Gani nyie watu yaani wewe sites zote ambazo walijenga kama Pyramids za Giza, Mesoamerica, Canary islands, Indonesia,china na underground bases nyingi Sana Kila siku zinakua documented Bado huamini
Tatizo mnaleta ubishi Bila kujielimisha Ili ubishe Kwa fact
Sina muda wa kuwalazimisha sawa Ankori baki hivyo hivyo!
 
Basi pia lugha ingekuwa ni moja tu iliyotokana na hao majamaa mana binadamu sindio walikuwa wanawafata....

Aache kutulisha matango poli huyu mkuu.
unatia huruma Sana yaani unaogopa kulishwa matango pori na Mimi huko kuhusu Annunaki huko ukitumia devices zinazotumia teknolojia walioasisi wao huoni ni kituko Cha Karne?
Wewe nipuuzie sababu hunipungizii kitu kamanda ila wenye akili wanaenda sites na chimbo kupata maarifa na wanakubali wenyewe juu ya Annunaki,
Wewe una akili sana kuwazidi watafiti na scientist ambao hutumia Accient writings kufanya vumbuzi mbali mbali

Wewe una akili sana kumzidi Nikola Tesla aliyetumia formula za ANNUNAK kugundua Umeme wa AC na pia unamzidi
Elon Musk ambaye hutumia formula zao?
 
Uzi umeanza vizuri ila mnapoanza kubishana kuhusu Mungu hii mada inabadilika,@ Dumas the terrible achana na kujibu kuhusu maswala ya Mungu turudi kwenye historia
 
Back
Top Bottom