Hizo za ukifa unaenda maisha ya eternal ni fiction tu walizolaghaiwa watu wa kale na hao watchers kiufupi hakuna kitu kama hicho mtu ukifa unakua decay unatoweka kabisa udongoni yaani unakua deadly infinity,
Hizo dhana zilianzishwa na ENLIL wakati ANNUNAK wanaondoka duniani na kurudi kwao waliwaambvyo maana walijua wanaondoka duniani na hawatarudi Ili kuwafariji wakawapa porojo za life after death Kumbuka
Annunak walicotrol man kind na walikua na akili sana walitunga sheria walizoziita dini Ili iwe faraja Kwa watu watakaowaacha huko wakiwaahidi ipo Siku watarudi na kuwachukua waende wakaishi nao juu mbinguni
(Nephilim 12th planet ) kwenye Raha za milele na anakoishi Mungu Mkuu ambaye ndie baba wa waanak yaani ANU
Kiufupi Ile ilikua danganya toto tu ukisoma maandiko ya Sumeria yanadai race ya binadamu ilikataliwa na jamii ya wanibiru kwamba haitakiwi huko kwao sababu lengo ilikua ni kuwatumia kama vijakazi wa kuwachimbia dhahabu tu mwisho wanatoweshwa ila kutokana na kuishi nao Kwa Upendo Kwa miaka mingi baadhi ya watchers waona waache tu wasurvive wakitumainia ipo siku watarudi kuwakomboa kwenye shida zao!
Kwahiyo jombi zile story zenu za Malaika kuonekana zamani na kuishi duniani kwenye dini zenu unajua kwanini Leo hawaji Tena Kwa maelfu ya miaka?
Mlilaghaiwa Aiseee poleni Sana waamini!
Mkuu wewe unaamini hizo historia ni za kweli si ndio?? Basi naomba ufafanuzi juu ya haya.
--Sasa ni kipi kinakufanya/ kiliwafanya hao waloyatunza hayo maandishi wasiamini kua hao annunaki watarudi tena na kua ile ile ilikua danganya toto tu!? Ilhali ni wao wenyewe waliwaambia watarudi??
--Ni kipi kiliwafanya waamini hata wewe uamini kua huko kwa mkuu wao kuna kiti cha enzi kilichopambwa au kunakshiwa kwa dhahabu na hao wazee na hizo blah blah lakini usiamini kurudi kwao??
Kama walidanganya kuhusu kurudi kwao walishindwa vipi kudanganya kuhusu huko kwao ambako pia watu wa kale hawakuwahi kufika??
--Na hizi habari za vita huko kwao na hayo maandishi ni nani walikua wanayaandika!? Je ni watu au ni annunaki??
Kuna uthibitishi wowote wa kujua huu mwandiko/mchoro ni wa nani??
--Umesema pia civilization iliisha pale hao viombe waliposepa, je hao watu walioachwa hawakuambulia chochote kabisa ilhali waliumbwa kwa mfano wao?? Umetaja pyramids na hayo machimbo na yote umesema yalijengwa kwa msaada mkubwa wa annunaki, so hawa watu wao baada ya kuondoka kwa hao viumbe walikua na maisha gani??
--Na je hicho kizazi cha hao watu wa kale enzi za annunaki ndicho hiki chetu kilichopo mpaka leo??
-- Mkuu unaamini kua kuna wachai, majini, vibwengo, mapepo vinyamkera na jamii kama hizo kama ndiyo ni nini chanzo cha hivyo viumbe??
Na je ni nani haswa waanzilishi wa hizi dini, ni taifa au jamii gani iliyoanza kusambaza habari za dini tulizonazo sasa hadi kuzika hizo habari za annunaki.??