Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
- Thread starter
-
- #121
karibu Mkuu ngoja niendelee!Uzi umeanza vizuri ila mnapoanza kubishana kuhusu Mungu hii mada inabadilika,@ Dumas the terrible achana na kujibu kuhusu maswala ya Mungu turudi kwenye historia
Usipate shida wewe thibitisha ya kuwahaaahaaa sijui mnataka marejeo Gani nyie watu yaani wewe sites zote ambazo walijenga kama Pyramids za Giza, Mesoamerica, Canary islands, Indonesia,china na underground bases nyingi Sana Kila siku zinakua documented Bado huamini
Tatizo mnaleta ubishi Bila kujielimisha Ili ubishe Kwa fact
Sina muda wa kuwalazimisha sawa Ankori baki hivyo hivyo!
Naomba utuonyeshe mchakato unafanyika vipi na usahihi wake ukoje ?hiyo tunatumia carbon 14 kupima mabaki ya Kazi Yao au na tunakadiria Miaka kwani hujui Hilo Ankori?
Unapenda kitonga Mimi ndie nilikufanya ukimbie shule?Naomba utuonyeshe mchakato unafanyika vipi na usahihi wake ukoje ?
Nenda kwenye Hizo site jombi usitake uthibitisho Toka kwangu wakati unaonekana wewe sio mtu wa kujifunza ila unataka mabishano tu,Usipate shida wewe thibitisha ya kuwa
hizi site walijenga hao Anunaki.
Hili limeisha. Huwa napenda kujadiliana na watu wanao jua wanayo yaandika na kuyaegemea.Unapenda kitonga Mimi ndie nilikufanya ukimbie shule?
Nenda kajifunze huko maarifa hayo Sina haja ya Kuanza kukupa elimu Mimi sio Lecture,naanzaje kukupa elimu kuhusu carbon 14
Ka google huko jinsi inavyofanya kazi ndio upate majibu
Tuendelee na mada!
Umeelewa swali langu au ninachotaka ?Nenda kwenye Hizo site jombi usitake uthibitisho Toka kwangu wakati unaonekana wewe sio mtu wa kujifunza ila unataka mabishano tu,
Nakupa sites hapa
Pyramids of Giza -Egypt
Pyramids of Mesoamerica -Mexico,Peru,Costa Rica,
Nazca lines - Peru
Temple of condor - Peru
Machu Picchu - Peru
Great stone of Costa Rica
Accient ENKI gold mining - South Afrika/Mozambique
Rama setu bridge -Tamil Nadu India
Angkor wat - kambodia
Grand Ziggurat of Uru - Iraq
Stonehenge - Great Britain
Grand canyon - USA
Accient Gabon Nuclear reactors -Gabon
Dogon tribe - Mali
Haya Sasa nimekupa sites Hizo hapo ni baadhi tu ya Zile nyingi Nenda kajionee historia inasemaje juu ya Annunaki na Accient civilization!
Mpaka hapo nimekusaidia ukirejea njoo tuendeleze mjadala na nipo tayari kukosolewa Ankori!
Sawa mwerevu haya Lete mambo!Hili limeisha. Huwa napenda kujadiliana na watu wanao jua wanayo yaandika na kuyaegemea.
Unayo yaegemea mimi huenda nikawa nayajua kukuzidi wewe, ila nafanya hivi kuonyesha ujinga wenu ulipo.
si unataka ushahidi juu ya sites zilizojengwa na Annunak Nini hujaelewa Ankori choma nauli nenda sites acha kubishana kitoto hapa,nenda Rudi na ushahidi hapa kwambaUmeelewa swali langu au ninachotaka ?
Hapo hujaonyesha ushahidi, bali umetaja majina.si unataka ushahidi juu ya sites zilizojengwa na Annunak Nini hujaelewa Ankori choma nauli nenda sites acha kubishana kitoto hapa,nenda Rudi na ushahidi hapa kwamba
Dumas the Terrible niliwadanganya juu ya sites nilizokupa ukahakikishe ya kwamba wajenzi wake sio Annunak ila ni Malaika na ushahidi huu hapa!
Unakwama wapi Ankori!
Simple tu!
Wewe jamaa kuna sehemu unapata wenge tena super wenge unajichanganya sana.Annunaki walikuja duniani na kuikuta IPO kwenye nature yake inasurvive na viumbe wake!
Mkuu jaribu ht kucheki google na youtubeUsipate shida wewe thibitisha ya kuwa
hizi site walijenga hao Anunaki.
Kwa ushauri ndugu itafute wewe uisome halafu uiwasilishe hapa jamvini itapendeza sana maana Unaona yangu Ina wenge na haieleweki Kwako!Wewe jamaa kuna sehemu unapata wenge tena super wenge unajichanganya sana.
Hauko straightforward unarukaruka tu,na hii story itakuwa umeimeza kama ilivyo hujachambua na kutafakari vyema
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Kuna vitu vingine unataka kuleta ujuaji unauliza swali la kitoto sana ambalo Kwa mtu mwenye Akili timamu aliyeenda shule na anajua historical time chatline atakushangaaKuna au unao uhakika 100% ya hayo maandishi ya Kale ya sumeria ni genuine au je isiwe hizo tablets ndio wamecopy kutoka mafundisho ya Abraham,ni sayansi gani au uthibitisho gani upo wa uhakika pasina shaka kuwa hayo maandishi ni ya kale sana.
Maana mimi na wewe yote ni wa karne hii wewe unawezaje kuamini hayo maandishi ni genuine sie tushindwe kuamini.
Au kama upendavyo kusema huamini chochote,je wewe kama wewe unadhibitishaje kuwa hayo maandishi ya sumeria ni genuine sie wengine wote ambao unatuita(fools) tushindwe kuamini?
Sio kwamba wewe ndio fool umeingizwa mkenge na shetani kwa kuamini na kuyabeba kama yalivyo hayo mambo ya kale.
Mimi nasema huu ni mpango wa shetani wa kuhadaa watu wa Mungu.
Kwa maana hayo maandishi yawezekana vipi yakawa copycat ya maandiko ya dini(Mungu na Uumbaji)
Kuna namna unapigwa na kuna namna na wewe unapiga.
Sasa Sisi hatupigiki ila tutajifunza na wewe bumper to bumper mpaka kieleweke.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mkuu Hawa jamaa mission Yao ilimalizika kitambo Sana na waliondoka duniani golden age ilipomalizikaIvi inamana Hawa annunaki hawahitaji dhababu Tena , ili wafanye repair ya sayari Yao ya Nibiru. Au Kuna Mbinu nyingine wanatumia kupata dhahabu duniani, kama Mbinu nyingine ipo itaje.
Mkuu tatizo lao wanataka mabishano sio kujifunza nawapa na hints pamoja na sites wafanye uchunguzi hawataki wananiganda Mimi hapa wakinitegemea niwe primary source hapo hapo wananipinga bila fact Wala kufanya tafitiMkuu jaribu ht kucheki google na youtube
Nikuambie tu acha kuwa mpuuzi(unapuuzia sana huo ni udhaifu wa kijinga) na ukae ukijua hakuna swali la kijinga ila huwa kuna majibu ya kijinga tu.Kuna vitu vingine unataka kuleta ujuaji unauliza swali la kitoto sana ambalo Kwa mtu mwenye Akili timamu aliyeenda shule na anajua historical time chatline atakushangaa
Yaani unataka kunambia Maandiko ya Sumeria yacopy maandiko ya Abraham
Hivi Kwa akili zako za kawaida na ulivyosoma bible verse zinasema Abraham na babaye Tera akiwa na mjomba wake Laban walitoka wapi?
Unajua Uru ya Ukaldayo Mesopotamia ambako alitoka Abrahamu kabla hajahamia Kaanan Kisha misri alikokaa Kwa muda kabla hajatimuliwa na Pharao alipomdanganya Sarai ni dadae na Pharao akaruka nae?
Muwe mnasoma badala ya kukurupuka yaani wewe unataka Mimi niandike Kila kitu hapa vitu vingine mkasome huko usitegemee source kutoka kwangu kama primary source utalost
Punguza ubishi na ujuaji!
kama unajua historical chatline kama unavyojinasibu Hapa usingekuja na maswali ya kijinga Kwa kusema Sumeria tablets zimecopy maandiko ya Abraham Kila mtu mwenye akili timamu na anajua table ya majira na muda Katika Historia ya Dunia hakika atakushangaa Sana unaye jiita mjuzi kwazo,Nikuambie tu acha kuwa mpuuzi(unapuuzia sana huo ni udhaifu wa kijinga) na ukae ukijua hakuna swali la kijinga ila huwa kuna majibu ya kijinga tu.
Na swali la kitoto ndio huwa swali gumu zaidi duniani kuliko swali lolote lile kila mtu anajua watoto ndio wana maswali magumu sana ila huwa wanapewa majibu ya kijinga badala ya kupewa majibu ya kitoto.
Kama swali langu la kitoto basi nijibu jibu la kitoto sio la kijinga(kwa kutupuuzia)
Kuna maswali mengi unaulizwa unajibu nusu nusu.
Historical chat line tunazijua vizuri tu pengine zaidi yako.
Ndio maana nakuambia ebu thibitisha,isije kuwa hao annunak ni hekaya tu za kucopy history za kina Abraham na baba yake Tera.
Jibu maswali hakuna swali la kijinga hata kama la kitoto.
Ila najua utajibu ujinga au utajibu swali the choice is yours.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app