ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Wewe ndio una low IQ jaribu kuwa na utulivu jibu maswali acha kupanic tupe elimu uliyonayo tujue sio unaleta mada ukiulizwa maswali unaona wanaouliza maswali ni wajinga hakuna mjinga hapa wote tuna akili timamu hatuna tu hizo information unazotupa wewe sasa kukuuliza maswali haimaanishi tuna low IQ.

Jibu maswali tuendelee mbele usipoteze muda na usituonyeshe udhaifu wako wa kupanic hovyo hovyo wala usijione wewe ndio genius sana,tofauti ni kuwa wewe unazo informations kuhusu annunak na Sisi hatuna hizo informations sasa ndio tudadavulie na njia nzuri ya kudadavua ni kujibu maswali.
Unakwama wapi chief acha utot ushakuwa mtu mzima wewe.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Tulia upate elimu wewe acha kuishi kwa kuabudu mavitabu yaliyoletwa na wakoloni, we unadhani wakoloni wanatupenda? akuletee wokovu wakati alitaka asiondoke!! afaidi mali zetu! angalia walivyo na chuki na mtu mweusi! Mzungu na mwarabu sio watu kabisa!
 
hahahahaha
Usipanic Ankori tulia dawa ikuingie Hizo Lugha zangu zisikutishe kama unataka elimu Kaa Kwa kutulia humu najibu maswali mengi Sana Muda hautoshi Kila mtu anataka nimlidhishe so Kuna muda nashindwa balance ndio maana utaona nachelewa kujibu na nyie mnasema nakimbia maswali WTF!
😁😁😁😁
 
Kuoza na kugeuka mbolea kwa mimea na viumbe wengine basi.
Huu ndio ukweli mchungu ambao watu wa dini hawataki kukubali,
Siku zote hua nawaambia kabla hujazaliwa Kuna sehemu ulikwepo?
Majibu Yao ni hapana na ukifa ndivyo hivyo hivyo
Nikiwa namaana mtu ukifa ni Sawa na mtu ambaye hajazaliwa huwi popote na ukifa huendi popote yaani una kua decayed infinity
Hizo life after death ni hekaya tu kufariji mioyo yenu!
 
Mkuu umekataza watu wa dini kwenye uzi wako ila wewe unatumia kitabu cha dini kama moja ya ushahidi Why🤔
 
Mkuu umekataza watu wa dini kwenye uzi wako ila wewe unatumia kitabu cha dini kama moja ya ushahidi Why🤔
kitabu Cha dini according to you kile ni kitabu Cha historia kinatumika kama rejea tu Kwa watu wa dini na kinatumiwa na Mtu yeyote hata asiye na dini sababu kilikwepo kabla dini hazijaanzishwa ila watu wa dini wamekibinafsisha Kwa maslahi Yao arifu!
 
Tulia upate elimu wewe acha kuishi kwa kuabudu mavitabu yaliyoletwa na wakoloni, we unadhani wakoloni wanatupenda? akuletee wokovu wakati alitaka asiondoke!! afaidi mali zetu! angalia walivyo na chuki na mtu mweusi! Mzungu na mwarabu sio watu kabisa!
Binafsi nipo tayari tuchukue hiyo challenge ya kutoamini mavitabu wala mahistoria tusiyoyaweza kuyathibitisha. Tusimame sisi kama sisi tumake sense papo kwa papo.

Haijalishi ameleta nani, nini ukweli huwa unasimama wenyewe. Na ndio tunaoutafuta
 
Binafsi nipo tayari tuchukue hiyo challenge ya kutoamini mavitabu wala mahistoria tusiyoyaweza kuyathibitisha. Tusimame sisi kama sisi tumake sense papo kwa papo.

Haijalishi ameleta nani, nini ukweli huwa unasimama wenyewe. Na ndio tunaoutafuta
Huu ndio ukweli unaoutafuta,hakuna mwingine Tena Leo Hii Jamii za Ulaya na Marekani wanatumia ujuzi huo ulioandikwa kwenye vitabu vya kale yaani Sumerian, Egyptian nk kufanya vumbuzi za kimaendeleo huko nyie wakiwaletea dini na Elimu za kijinga jinga muendelee kua brain washed Ili mtawaliwe vizuri!
 
Enlil ndiye Mungu wa anga aliyekuja na slogan ya heaven aand earth ambayo baadaye Quran ikaja kuiandika upya halafu kongole imeenda kwa allah
Aiseee....?

Ngoja nijifunze zaidi kutoka kwenu katika hii ishu
 
Aiseee....?

Ngoja nijifunze zaidi kutoka kwenu katika hii ishu
Hii ni baadhi ya aya ambayo waislamu wanaitumia kama reference kwenye ishu ya bing bang

"the heavens and the earth were joined together as one unit, before We clove them asunder" (21:30)

Lakini Sumerians walishaandikaga haya mambo maelfu ya miaka kabla hata ya Quran kuwepo

 
Mkuu kuna nyumba zozote ambazo ziligundulika kwwmba annunaki walikuwa wakiishi hapa duniani ?
 
Aiseee....?

Ngoja nijifunze zaidi kutoka kwenu katika hii ishu
Unastaajabu nini wakati Abrahamic religion zimecopy maandiko ya Sumeria ambayo baba yenu wa Imani Abraham alitoka nayo Uru ya Ukardayo huko Mesopotamia yalipokua makao makuu ya ANNUNAK Katika accient civilization,

Abraham alionekana ni jamaa mwenye ustaarabu wa Hali ya juu Tena akiwa tajiri wa Mali,dhahabu,mifugo na alimiliki caravan kubwa yenye jeshi la kuogofya alilotoka nalo kwao kwenda Kaanan kuanzisha new settlement,
Hiyo ilijili baada ya Babylon kuanguka kutokana na kuondoka Kwa Annunaki/Watchers/Angeles
Na kurudi huko
Nephilims 12th Planet Nibiru (Mbinguni)

Hapo ndipo zikazaliwa nadharia za MUNGU Elohim/Elojim/YWH
Kwa mara ya kwanza ila misingi yote hizo nadharia alianzisha Mkuu wa Annunaki aliyeitwa
ENLIL akishirikiana na nduguye ENKI ambao walikuja duniani kutoka huko Nibiru hapo kale kufuata dhahabu!
 
Ni sahihi mkuu hiyo aya tunaitumia kama reference,unajua mkuu hii Qurani sio kwamba yoote imeandika vitu vipyaa kabisa ambavyo havijawahi kusikika ulimwenguni.

Bali kuna vitu huwenda ama vipo katika vitabu vingine na Qurani ikawa imevitaja vitu hivyo.

Ndio maana Qurani ikasema..

إن هذا لفي الصحف الأولى

[ AL - AA'LAA - 18 ]
Hakika haya yamo katika Vitabu vya mwanzo,صحف إبراهيم وموسى

[ AL - AA'LAA - 19 ]
Vitabu vya Ibrahimu na Musa.

Kwamba kuna habari tunaambiwa kwenye Qurani sio uzushi bali habari hizo zipo pia katika vitabu vilivyotangulia.

Point yangu ni kwamba sio tatizo maandiko ya Qurani yakafanana na maandiko mengine ya kale..
 
Kumbe waliikuta dunia?, kumbe yupo aliyeumba dunia na hao gods, the created creator
 
Kuna jamaa anajita Mokaze alikuwa anasema wana sayansi wamekuwa wakitumia Quran kufanya utafiti kwasababu ndio kitabu pekee kilichoongelea habari za Bing bang

Mwingine anajiita FaizaFoxy huyu alikuwa anasema Quran ndio kitabu pekee kilichoongelea habari za embryology katika zama ambazo hakukua na sayansi. Wakati kuna ancient texts za kihindu huko za Shrimad Bhagawatam, Garba Upanishad na Samhitas ambayo imetoa hadi sayansi ya mid-wifery

Hivyo vitabu vyote vilitangulia kuwepo maelfu ya miaka zaidi ya Quran, waislamu wengi wamejifungia milango ya elimu kwa kutosoma vitabu vingine au kufanya utafiti wa kila kitu ambacho kimeandikwa kwenye Quran kama kiliwahi kuandikwa na kitabu kingine kabla ya Quran

Matokeo yake wengi wanakuja kuvimba kwa kutaka kuwaoneshea watu kuwa kitabu chao ni special sana kwani kimeandika mambo nyeti ambayo hayajawahi kuandikwa.
 
Aiseeee hahaha.

Ni hatari mkuu.

Mimi nadhani kila mtu ana falsafa yake kwa ambao wataamini kwamba Qurani imeandika vitu ambavyo havijawahi kuwepo ni shauri lake.

Ila mimi naweza kusema kwwmba naamini kuwa yamo mambo ambayo sio yako katika Qurani tu bali kuna vitabu vingine yapo hayo mambo.

Ndio maana kuna kisa cha watu wa pangoni bwana Mtume alikuwa anawasimulia watu wakajiuliza kajuaje huyu mtu ?

Nw kuna baadhi ya mambo mtume alikuwa akiyasema watu wqnasilimu kwa kusema kwamba kwamba anayoyasema muhammad yamo katika vitabu vyao vya dini huko nyuma.

So kuna ambao waliingia katika dini ya uislamu kwa kushawishika kwwmba mbona hii qurani inaeleza mambo wmbayo yapo kwtika vitabu vyetu fulani ya dini ?

So ni kuonesha tu kwamba yapo mambo ambayo Qurani sio ya kwwnza kuyataja mambo hayo,na kusema hivi sio ukafiri(kukufuru).
 
Sasa hizo habari zimeandikwa kwenye dini ambazo zina abudu miungu zaidi ya mmoja, mfano huyo Enlil ni Mungu wa mbingu na ana baba yake

Sasa ukisema Quran inakiri kuwa kuna mambo mengi yaliyoandikwa kabla yake, na tuna angalia katika habari nyingi tunazikuta kwenye dini ambayo ina miungu zaidi ya mmoja, je hiyo ina maana Quran inazitambua hizo dini kama dini za kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…